muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    Kuna muda unaweza jisahau kumbe ACT Wazalendo ndio chama kikuu cha Upinzani kwa mizania ya uwakilishi maeneo mbalimbali kiuongozi

    Kuna Muda nasahau kabisa nikidhani CHADEMA ndo chama kikuu cha Upinzani ndo mpaka nikumbushwe kwamba ni ACT Wazalendo. Labda CHADEMA wakiwakubali wale 19 ndo itakuwa Chama kikuu cha Upinzani. Isiwe Tabu sana tupiganie kushika madaraka kabisa. Britanicca
  2. C

    Rekodi yako ya muda mfupi sana wa safari kuendesha gari (private drive)

    Heshima mbele wadau Najua hapa kuna manguli wa kutosha na wazee wa kusuka private cars pale wanapofanya safari. Kuna wazee wa Druti za Dar - Arusha, DOM-DAR, DOM -MBEYA, DAR MWANZA. Wakati tukielekea msimu wa likizo mwezi Disemba. Share uzoefu wako, ni safari gari umewahi kwenda kwa muda...
  3. R

    Mambo Mengi muda mchache, kijana aende wapi kati ya diploma ya CLINICAL MEDICINE NA PHARMACY

    Njia panda! Nisaidieni aende wapi , with reason. Vyote ni vyuo vya serikali amechaguliwa.
  4. Roving Journalist

    HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

    HESLB YATOA SIKU NNE WAOMBAJI KUFANYA MAREKEBISHO BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa muda wa siku nne kuanzia Oktoba 4-7, mwaka huu kwa wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022 kufanya marekebisho ili kukamilisha taratibu za maombi yao. Ili kupata taarifa za...
  5. Tony254

    KRA imekusanya ksh 476 billion kwa muda ya miezi mitatu. Pesa ambayo TZ inakusanya katika muda wa miezi sita.

    Wadau Kenya inazidi kuonyesha kwamba sisi ndio baba wa ukanda huu hata likija kwenye swala la kukusanya ushuru. Kenya imekusanya ksh 476 billion katika muda wa miezi mitatu tu. Kiwango cha pesa ambacho Kenya inakusanya kwa muda wa miezi mitatu, Inaichukua Tanzania miezi sita kukusanya. Sasa sisi...
  6. Time Traveller

    Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
  7. crome20

    Wamachinga hawachukiwi- Wanasiasa acheni taaluma ifanye kazi ili kupanga miji

    Ni ukweli usio na shaka mahali popote duniani kuwa miji na matumizi ya maeneo katika miji hupangwa. Mipango miji ni TAALUMA na inasomewa. NI ukweli pia usiopingika kuwa kuwa MAZINGIRA ni taaluma, inasomewa pia BIASHARA ni taaluma . Katika manispaa na miji wataalamu hawa wameajiriwa ili...
  8. Analogia Malenga

    Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

    Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
  9. K

    Wakili mwandamizi wa Serikali (Senior state attorney upatikana kwa umahiri wa kazi au ni kwa muda mrefu kazini?

    Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa kiswahili kisicho rasmi Ni wakili Mwandamizi wa serikali. Kwangu Mimi maana ya " senior" ni mtu...
  10. R

    SoC01 Shairi: Amkeni Mwokoe Nyakati

    1. Nawaandikia ninyi vijana, kwa maana mna nguvu, Yalinenwa na Nabii Yohana, akijua mtafuzu, Lakini kumbe hamjafana, fursa mwachezea ka’ fuvu, Tena ujana mwautafuna, paso kuwekeza nguvu, Amkeni mwokoe nyakati, kwani zakimibia ka’ mshale. 2. Eti mshikaji sina ishu, nimeamua kula gudi...
  11. Chizi Maarifa

    Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

    Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
  12. Influenza

    Mbeya: Mhandisi aswekwa ndani kwa kutafuna Bilioni tatu za mradi wa maji. Adai kujenga Kibanda cha mabati cha 'site' kwa Milioni 100

    Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa ameamuru Jeshi la Polisi kumkamata na kumuweka mahabusu Mhandisi Alistides Kanyomo wa kampuni ya Mbesso Construction kutoka Jijini Dar es Salaam Kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi bilioni tatu za Ujenzi wa mradi wa Maji Katika Bonde la Mwakaleli...
  13. Mulokozi GG

    SoC01 Je, muda ni nini, na jinsi mtu anavyo weza kuwa huru na muda

    Kwenye uzi huu wa mabadiliko nimetumia njia tofauti kidogo, kwani uzi huu hauja lenga kuibadilisha jamii moja kwa moja bali umelenga kubadisha au kuboresha kiunzi cha jamii(wewe msomaji), ili kiunzi cha jamii ndicho kiibadilishe jamii. Kwani moja ya zawadi na kazi kubwa mtu anayoweza kuifanya...
  14. TODAYS

    KUTOKA ZANZIBAR: Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi awaaga madaktari bingwa wa kichina waliomaliza muda wao

    Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
  15. L

    Wanaume wametutawala muda mrefu bila suluhisho la matatizo mengi, tumuunge mkono Rais Samia atatuvusha

    Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu...
  16. William Mshumbusi

    Rais Samia, kujaribu kuwashawishi Team Magufuli wakuelewe utapoteza muda. Achana nao na uanze kuunganisha Watanzania, hasa wapinzani

    Haya Mambo pia alifanyiwa Raisi wa Russia Dmitry Medvedev. Aliwekwa madarakani Kama kivuli na waziri mkuu wake puten na baada ya muhula moja akatolewa. kwa haraka haraka utazani Mwendazake Kama aliwaita watu wake akawausia wasikubali lolote analofanya mama. Pale anapokosolewa au kushambulia...
  17. Miss Zomboko

    Njia za kukusaidia kuweza kutumia muda vizuri

    1. Anza na panga siku yako vyema Usikimbilie kuanza majuku yako ya siku bila kukaa chini na kutumia dakika chache za kutafakari mambo kadhaa. Tafakari ni jambo gani muhimu zaidi ili uweze kulipa kipaumbele katika siku yako. Jifunze kujiwekea malengo, haya yatakuwezesha kujua nini unachotakiwa...
  18. msovero

    Ndani ya muda mfupi Rais Samia amefanya kufuru, licha ya kuupiga mwingi sasa anakimbiza mwizi kimya kimya

    Kama tukiweka unafiki pembeni, Kwa muda mfupi ambao Rais Samia ameingia ikulu amefanya kazi kubwa sana ambayo kama ingefanywa na serikali iliyopita ingechukua miaka kadhaa kukamilika Mama katika kipindi cha miezi sita ambacho ameingia ikulu kwenye sekta ya afya tayari ameidhinisha mabilioni ya...
  19. eugenp

    Hivi FINCA wanatoaga majibu ya Usaili baada ya muda gani?

    Nmefanya Usaili Finca J4 ila mpaka Leo siku ya 5 naona Kimya au ndio ule msemo wa ukiona manyoya ujue kashaliwa😂😂😂 Ila nilifanya vizuri nina uhakika Labda kama kuna mtu yoyote anaefahamu recruitment process yao huwa inachukua muda gani?
  20. C

    Mauzo ya jezi ya Ronaldo ya vunja rekodi za muda wote

    💰 £187m in shirt sales 👕 Fastest selling shirt in Premier League history 🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts 🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before Ronaldo's kicked a ball Nobody sells shirts quite like Cristiano Ronaldo
Back
Top Bottom