muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni muda muafaka sasa wa kuajiri Psychologist kila Tarafa na baadhi ya Idara za Serikali

    Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
  2. Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  3. Idugunde nimekuwa very wise. Muda wote convern yangu ni juu ya mustakabali wa taifa langu. Masuala ya mpira wa Ulaya hata Bongo sifuatilii

    Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo. Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal. Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
  4. Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
  5. J

    TBS yateketeza Vipodozi vyenye viambato sumu na bidhaa zingine zilizokwisha Muda wa matumizi zenye thamani ya takribani Sh. Milioni 400

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni vile vyenye viambato sumu zisizofaa kwa matumizi kwa binadamu. Dk. Kandida P. Shirima (Kaimu...
  6. Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

    Hapa eneo la Ubungo Kibo(Msewe) mkoani Dar Es Salaam kuna nyumba inateketea kwa moto na hakuna msaada wowote licha ya watu mbalimbali kujaribu kuwasiliana na wahusika wa zima moto. Watu wengi wanaoishi katika nyumba hii ya upangaji wameshindwa kutoa mali zao ndani ya nyumba, baadhi yao wapo...
  7. S

    Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  8. Nasa Artemis 1: Majaribio kuanza muda mchache ujao

    MAJARIBIO YA ROCKET YA MWEZINI YATAANZA MUDA MCHACHE Muda mchache kuanzia sasa Majaribio ya urushwaji wa rocket itakayotumika katika safari mbalimbali za mwezini na anga za mbali kwa ujumla utafanywa ambapo tutashuhudia rocket ya Space Launch System ikielekea katika safari yake ya masiku kadhaa...
  9. Utopolo watapeliwa; Kambole ni majeruhi wa muda mrefu

    Hivi mtafanya siri mpaka lini?
  10. S

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida IGP wa Kenya aomba kupumzika kwa muda

    Je,, ni kweli IGP anaumwa? Au, bado ni vuta nikuvute ya uchaguzi? Na ni nani yuko nyuma ya movie hii? Ni Ruto (mhangaikaji) ama Odinga (mtoto wa mboga 7)?
  11. B

    Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

    Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni...
  12. SoC02 Kilimo cha mazao ya muda mfupi

    Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio uti wa mgongo kwa uchumi wetu, kwani ni miongoni mwa sekta ambazo zinachangia pato la taifa na ni...
  13. Ni suala la muda tu kabla CCM hawajatuletea 'Magufuli' mwingine

    CCM walilazimika kumpa madaraka Magufuli kutokana na mazingira ya wakati ule ila walidhani wangeweza kumdhibiti. Magufuli akawashangaza na kuwafumba midomo hata wale ambao walidhani wangekuwa na sauti juu yake. Mmoja wa watu pekee ambaye NADHANI bado alibaki na kauwezo fulani ka kumkemea alikuwa...
  14. P

    Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  15. Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  16. Huu ndo muda wa kuoa wazungu!

    Yaani kama utani vile! ... kuna facebook friend wangu Maulaya sio muda mrefu uliopita alikuwa ananata sana na kuona kwamba hata urafiki wetu ni hisani ananifanyia mimi sokwe wa kutupiwa ndizi! 😅 ... maana kwakweli ni pisi kali, ... mwenyewe ana uzuri wake wa kibongobongo, tako-tako, curvy, mzuri...
  17. SoC02 Ni muda muafaka wa kuinua vilivyo vyetu

    NI MUDA MUAFAKA WA KUINUA VILIVYO VYETU. Utangulizi. Mpaka sasa, kumekuwa na imani hafifu kwa watanzania hasa linapokuja suala la kukubali vitu mbalimbali vinavyotengenezwa au kuzalishwa na raia kutoka nchini. Imani hii hafifu imekwenda mbali zaidi hadi kufikia hatua ya kudharau na kukandamiza...
  18. L

    Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  19. T

    Pongezi: Asante kocha Zoran Maki kwa kuligundua jipu lililokuwa likiisumbua simba kwa muda mrefu, Jonas Mkude.

    Ahlanbik: Kongole kwa kocha zoran maki kwa kupata ushindi wake wa kwanza katika ligi kuu ya NBC hapo nchini Tanzania dhidi ya Geita Gold. Pia pongezi nyingi kwake kwa kumtoa nje kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika ,the so called "legend" ,Jonas Mkude. Ni muda mrefu sasa mchezaji huyo mlevi...
  20. T

    Movements za striker wa Simba zinafanana kabisa na Mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic!! Ni suala la muda tu awadhihirishie ubora wake

    Bila ya salamu!! Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…