Kwanini sijapoteza muda wangu kuiangalia Fainali ya ASFC ya Azam FC na Yanga SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,176
- Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia.

- Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia.

- CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia.

- Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia.

Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC inayomkomalia mno Simba SC leo itamfunga Yanga SC katika Fainali ya ASFC na kuwa Bingwa.

Yanga SC ndiyo Bingwa wa ASFC.
 
Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia.

Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia.

CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia.

Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia.

Ungeandika huu uzwazwa kabla ya mechi.
 
Wameishiwa cha kuongea
Wamebaki kumdis ngwea
 
1224725439.jpg
 
Nimemwomba Rais wa Yanga alikabidhi kombe hilo kwa Azam wapate cha kuweka kabatini kwao kama shukrani ya kurusuhu uwanja wa Chamazi kutumika kama home ground ya Yanga kwenye baadhi ya michezo. Raise amesema atalipeleka ombi hilo kwenye kamati ya utendaji. Halafu ile ngao ya mwaka jana wawape Simba ili nao wawe na kitu cha kuweka kabatini.
 
Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia.

Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia.

CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia.

Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia.

Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC inayomkomalia mno Simba SC leo itamfunga Yanga SC katika Fainali ya ASFC na kuwa Bingwa.

Yanga SC ndiyo Bingwa wa ASFC.
Tema mate chini.Yanga hii inayoshinda hadi Uarabuni!
 
Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia.

Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia.

CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia.

Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia.

Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC inayomkomalia mno Simba SC leo itamfunga Yanga SC katika Fainali ya ASFC na kuwa Bingwa.

Yanga SC ndiyo Bingwa wa ASFC.
Kutoka kwa usalama wa taifa alie rogwa
 
Back
Top Bottom