muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. SUA ni muda muafaka jina libadilike

    Sababu kuu kwa sasa Chuo hiki kikuu Cha Kilimo Sokoine kina mchanganyiko wa kozi nyingi nje ya kilimo.
  2. B

    Bunge la Wananchi wanatoa tamko muda huu, kuhusu ardhi

    23 February 2024 Morogoro, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Z53l5mEXWwU Migogoro ya ardhi kutokana na wingi ya idadi ya watu nchini, matumizi ya ardhi kwa kilimo na ufugaji yanatakiwa kupatiwa ufumbuzi wa haraka. Pia ufafanuzi wa umiliki wa ardhi elimu ya uraia yatolewa na bunge la...
  3. Yemen chini ya Houth yataja mikakati yake ya kupigana na Marekani kwa muda mrefu

    Marekani haikujua kuwa wamechokoza adui ambaye anaweza akawaletea kusalimu amri kwa mara nyengine kama ilivyotokea kule Vietnam na Afghanistan. Wapiganaji wa Houth wamesema wana mikakati endelevu ya kupigana na Marekani mpaka pale Israel itakapoacha uadui na Palestina. Mikakati iliyotajwa na...
  4. F

    Dola ya Kimarekani inakimbilia 2,600 Tshs muda huu!

    Hili nalo jambo gumu kati ya mengi yanayotukabili watanzania kipindi hiki kigumu. Dola ya kimarekani ina shoot kwa kasi na punde si punde tunaweza kujikuta tunazoe mahesabu ya 1:3000. Tuzidi kuipambania nchi yetu kila siku.
  5. Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
  6. Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi

    Mbunge Asya Sharif Omar: Kukaimisha Watimishi Muda Mrefu Kunaondoa Ufanisi Mbunge Asya Sharif Omar amesema ipo changamoto kwa wizara ya Maji watumishi wake ngazi ya Wakurugenzi na wakuu wa vitengo kukaimishwa kwa muda mrefu katika nafasi walizopo. Akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge...
  7. Guinea: Serikali yavunjwa, mipaka yafungwa, intaneti yazimwa kwa muda

    GUINEA: Rais wa Mpito, Mamady Doumbouya, amevunja Serikali ya Kijeshi bila kueleza kwa undani sababu za hatua hiyo huku akifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kuanzia nafasi ya Waziri Mkuu. Taarifa zinaeleza kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Brigedia Jenerali Amara Camara amewataka Mawaziri wote...
  8. Ma EX wake hawanihusu muhimu kwangu ni nafasi na muda wa kutosha wa kuwa naye

    Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi. Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa...
  9. Ni movies zipi ambazo regardless na muda hauwezi kuja kuchoka kuziangalia?

    Kuna movies ambazo ni classic kwako. Yani hata kama moja wapo ikiwekwa sasa hivi yani wewe unaiona kama mpya machoni mwako. Hata kama ni ya miaka 50 iliyopita ila bado kwako ni timeless. Zangu ni: 1: Predator 2: Rambo zote 3: Mission impossible zote 4: Sicario part 1 5: Batman: "Batman...
  10. B

    Ni muda ya vazi la maasai kuwa vazi la taifa la Tanzania

    Ni lini watanzania tutathamini vya kwetu? Nchi ya Tanzania ni nchi kubwa yenye tamaduni tofauti tofauti kutokana na kuwa na makabila mengi. So suala la serikali kuweka kamati ya vazi la taifa miaka na miaka naona ni ubadhirifu wa fedha za umma. Kwa sababu gani ni ubadhirifu wa fedha za umma ni...
  11. Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye. Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto. Dua ZENU wadau ndio...
  12. A

    Wakuu habari za muda huu

    Naomba software ya Ms word 2019 au 2021,2023 iliyo free amba syo y kulipia au kma mtanielekeza pia website pakwenda kuipakua nitashukuru wandugu
  13. Naoni yangu: Orodha ya wanasiasa bora wa muda wote nchini

    Haya ni maoni yangu binafsi kwa jinsi nilivyowaona na kuwasikia kwenye mambo yao mbalimbali waliyoyafanya kwenye siasa za Tanzania. Hii list inahusisha wanasiasa wa zamani na wa sasa, walio hai na waliotangulia mbele ya haki. Nimewaweka kulingana na ubora wao. Namba moja ina maana ndo bora...
  14. Muda gani ni sahihi kumshambulia adui?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna asiye na adui. Na hakuna ambaye sio adui kwa mwingine. Yaani wewe unavyojiona hapo kuna mtu anakuona ni adui yake. Halikadhalika wapo unaowaona ni maadui. Unaweza kuwa na maadui kwa Wema wako. Kama vile unavyoweza kuwa na maadui kwa ubaya wako. Adui ni...
  15. Ruvuma: Barabara kuu ya Mangaka - Tunduru yafungwa kwa muda. Ni kutokana na mvua zinazonyesha

    Tunduru - Ruvuma Kutokana na mvua kubwa zinazonyesha ukanda wa Morogoro na Selous, daraja kubwa la Mto Muhuwesi lililoko hapa Tunduru limejaa maji hadi juu ya daraja na kwa hiyo tumechukua uamuzi wa haraka wa kufunga barabara kuu ya Mangaka - Tunduru Mjini kwa muda. Eneo la barabara...
  16. G

    Ni kitu gani kimewahi kukutesa kwa muda mrefu ukiachana na mahusiano ama kumpoteza mtu?

    Kwenye maisha kuna kipindi unakuta unapitia machungu kama vile Kufirisika / kufulia Uraibu uliokurudisha sana nyuma kiuchumi mfano kubeti, ulevi, n.k. Matatizo na vyombo vya sheria mfano kesi za mahakamani, Mapolisi kukusumbua, n.k. Kurogwa - Hatupaswi kuuamini ila haya mambo yapo hata kwenye...
  17. Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

    Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa katika ziara yake Tunduma Mkoani Songwe amesema "Si nimepewa usemaji? nitasema kweli bila kumung'unya maneno na kwa taarifa yenu sifi na Mungu hana mpango wa kuniondoa kwanza. Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu, mtafute waganga...
  18. Mtakuja kufa bure kwa presha. Jitahidini kutongoza. Kwa sasa wanaume hatuna muda

    Dah! Sio kwamba tunashindwa la hasha! Ni kwa vile tu uchumi umeshuka, hasahasa ninyi mnaojieka ki baby Zuu, inafikia hatua tunajiuliza kuwa endapo tutawarushia nyavu, tutakuwa tayari kukabiliana na majibu machafu mtakayotupatia? Vipi kuhusu gharama za kuwalipa? Inapotokea chance ya ninyi...
  19. Baada ya muda wanawake hurudi

    Ikipita miaka kadhaa huwa wanarudi kwa wanaume wa zamani. Unakuta mtu kashazaa watoto na ana mume lakini anarudi tena kwa wale waliomuacha zamani.
  20. M

    Anayefaham hotpot ambazo zinatunza joto Muda mrefu

    Habari wadau, Naombeni mnifahamishe ikiwezekana tupia Na picha ya hotpot ambazo zinatunza joto muda mrefu hotpot nazokumbana nazo zinapoza haraka chakula
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…