Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,412
4,292
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam

19: FA - Bado Nipo Nipo

18: Fid Q - Propaganda

17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio

16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee

15: AY - Raha Tu

14: Professor J - Hapo Sawa

13: Balozi -Kwenye Chati

12: Sugu - Wananiita Sugu

11: Professor J - Nikusaidiaje

10: Ngwair - Mitungi/Mikasi

9: Inspector Haroun - Mtoto wa geti kali

8: Jay Mo - Maisha Ya Boarding

7: X plastaz - Ushanta

6: Afande Sele -Darubini Kali

5: Sugu - Moto Chini

4: Kwanza Unit - Msafiri

3: Sugu - Mikononi mwa Polisi

2: Afande Sele - Mtazamo

1: Professor J -Zali la Mentali
 
Propaganda.. hii inabidi kwanza izishinde, august 13,mwanza mwanza, ielewe mitaa na NENO, propaganda hata kwa im professional bado.
Katika ngoma hizo za fid 1 inahitajika iwepo kwenye top 10.
Lakini pia dar es salaam ya chidi kukaa namba 20 sio sawa inahitajika kukaa hata top 3.

Ngoma ni nyingi saana hivyo ni ngumu sote kufanana kwenye maono(listi)zetu. Kwa mimi Kuna baadhi ya ngoma hapo inabidi nizitoe niweke ngoma nyingine.
 
ngoma ni nying sana kali huu tuupokee kama mtazamo wako.... hata ranking yako sio sidhan kama mtiririko ndo huo...
kwangu mimi top 20 zisikosekane hizi
... agost 23 ya fid q
.... usiulize ya rado
.....mtazamo ya afande sele
.... cnn ya ngwair
......mfalme ya mwana fa
.....zali la mentali ya profesa j
 
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam

19: FA - Bado Nipo Nipo

18: Fid Q - Propaganda

17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio

16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee

15: AY - Raha Tu

14: Professor J - Hapo Sawa

13: Balozi -Kwenye Chati

12: Sugu - Wananiita Sugu

11: Professor J - Nikusaidiaje

10: Ngwair - Mitungi/Mikasi

9: Inspector Haroun - Mtoto wa geti kali

8: Jay Mo - Maisha Ya Boarding

7: X plastaz - Ushanta

6: Afande Sele -Darubini Kali

5: Sugu - Moto Chini

4: Kwanza Unit - Msafiri

3: Sugu - Mikononi mwa Polisi

2: Afande Sele - Mtazamo

1: Professor J -Zali la Mentali
1.Bongo Dar Es Salaam Prof Jay Ft Jaydee
2. Elimu Mtaani DKnob
3. Natamani Wakali kwanza
 
6.Geez mabovu _mtoto wa kiume
1.Darasa _maisha na muziki
2.Ferooz ft Prof jay _starehe
4.Fid q _ Mwanza mwanza
3.Mchizi wangu remix
5. Rado_usiulize

Hizi ni baadhi ya ngoma kubwa za kuwahi kutokea bongo, hivyo vyovyote utakavyopanga lazima uzigusie.
 
wifi yangu Lamomy naomba niitie kaka Countrywide muambie nasubiri list yake ya nguvu maana hip-hop ndiyo shughuli yake...
Na ndio naingia jf nakutana na hii😂

Ametaja nyimbo nyingi ambazo ni average Sana
Real Top 20
1) Mtazamo - Prof, solo, afande
2) Hawatuwezi - N2N
3) Mchizi wangu remix - N2N feat all stars
4) Daressalaam Stand up - Chid benz
5) Kamanda - Daz nundaz
6) Bongo Dsm- Prof jay
7) Niaje Nivipi - Joh makini feat Nikki
8) Hii Leo - Gk, Ay, Fa
9) Mikasi - Ngwair
10) Zali la mentali - Prof Jay
11) Stimu zimelipiwa - Joh Makini
12) Nyumbani ni Nyumbani - Tmk wanaume
13) Usiulize - Rado
14) Kwenye chati - Balpzi
15) Ukisikia Paah - Jcb
16) Mstari wa mbele - kalapina
17) Darubini - afande sele
18) Muziki - Darassa
19) Fid q.com - Fid q
20) Hili game - Juma nature
 
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam

19: FA - Bado Nipo Nipo

18: Fid Q - Propaganda

17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio

16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee

15: AY - Raha Tu

14: Professor J - Hapo Sawa

13: Balozi -Kwenye Chati

12: Sugu - Wananiita Sugu

11: Professor J - Nikusaidiaje

10: Ngwair - Mitungi/Mikasi

9: Inspector Haroun - Mtoto wa geti kali

8: Jay Mo - Maisha Ya Boarding

7: X plastaz - Ushanta

6: Afande Sele -Darubini Kali

5: Sugu - Moto Chini

4: Kwanza Unit - Msafiri

3: Sugu - Mikononi mwa Polisi

2: Afande Sele - Mtazamo

1: Professor J -Zali la Mentali
Top 20 za muda wote kwa hii list yako knabidi uombe radhi kwa wana hip-hop wote. Unaposema kwa muda wote tafsiri yake inatakiwa iwe miwa kweli kweli
 
1. Muziki -Darassa
2. Starehe - Ferouz
3. DSM stand up - Chid Benz
4. Ingekua vp - FA ft Jay Moe
5. Kamanda - Daz nundaz
6. Hakuna kulala - Juma Nature
7. Bongo DSM - Prof Jay
8. Zali la mentali - Prof Jay
9. Mi mmasai - Mr Ebo
10. Mtazamo - Afande Sele
11. Wauguzi - wagosi wa Kaya
12. Tunasonga - Hashim dogo na Kalapina
13. Tanga - Wagosi wa Kaya
14. Inaniuma Sana - Juma Nature
15. Kiburi - Sugu
16. Habari ndo hiyo - FA/AY
17. Mwanza Mwanza - Fid Q
18. Kibanda Cha simu - Soggy Doggy
19. Nikusaidiaje - Prof Jay
20. Mathematics - RomaHizo ngoma ni classic ziwekwe kwenye jumba la makumbusho.
 
1. Muziki -Darassa
2. Starehe - Ferouz
3. DSM stand up - Chid Benz
4. Ingekua vp - FA ft Jay Moe
5. Kamanda - Daz nundaz
6. Hakuna kulala - Juma Nature
7. Bongo DSM - Prof Jay
8. Zali la mentali - Prof Jay
9. Mi mmasai - Mr Ebo
10. Mtazamo - Afande Sele
11. Wauguzi - wagosi wa Kaya
12. Tunasonga - Hashim dogo na Kalapina
13. Tanga - Wagosi wa Kaya
14. Inaniuma Sana - Juma Nature
15. Kiburi - Sugu
16. Habari ndo hiyo - FA/AY
17. Mwanza Mwanza - Fid Q
18. Kibanda Cha simu - Soggy Doggy
19. Nikusaidiaje - Prof Jay
20. Mathematics - RomaHizo ngoma ni classic ziwekwe kwenye jumba la makumbusho.
Kila list najionea maajabu, ni kweli ni list yako lakini wimbo kama Hawatuwezi unaweza vipi kukosekana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom