Muda:
nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2,
Chanzo:
Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata maisha yangu kiujumla.
Nlijaa stress sana hicho kipindi nasubiri hatma, nilikaa wiki 2 bila kuoga...