Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo.
Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa!
Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi...