mtu

  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini mtu akihoji viongozi anaambiwa ni CHADEMA na akisifia viongozi anaambiwa yupo CCM?

    Utamaduni huu ni changamoto sana ndani ya taifa letu, shida nini? Hasa 1. Elimu yetu ni mbovu? 2. Au ni umasikini? 3.Au ni taifa letu limekufa 4. Jamani shida nini? Na tufanye nn I'li kuondoa huu uccmulism na uchadalism?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ninapotaka kununua ardhi kutoka kwa mtu ni vitu gani vya msingi kuzingatia?

    Wakuu naomba msaada nimepata eneo nahitaji kununua ila Kwa mtu. Naomba vitu vya kuzingatia kuokoa pesa
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

    Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena. Naamini muda sahihi wa kumuaga mtu mara ya mwisho ni wakati akiwa hai, kama hutapata nafasi basi jitahidi kukumbuka...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana sio waaminifu. Nusura niingie JELA. Sitakuja kumdhamini Mtu walahi

    Nakumbuka 2018 nilikuwa na pikipiki Tatu. Mbili Boxer Moja Haugue, nikatafuta Vijana Watatu. Vijana wawili waliochukua Pikipiki za Boxer nikawaambia badala wanipe elfu 10 Kwa Siku kama bodaboda Wengine wafanyavyo Kwa maboss zao Mimi nikawaambia wanipe elfu 8. Kwa wiki wantumie elfu hamsini...
  5. Emmanuel gubabu

    JamiiForums Tanzania Wananchi katikati ya kisasi hasira

    Wananchi Tuna kisasi na Al hilal lakini katika kisasi hiko TP mazembe ana kisasi na sisi dah hapo patachimbika balaa
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Moyo wa mtu ni kiza kinene.. Tenda wema uende zako

    Anaandika Gerald John Komba, mtoto wa kwanza wa marehemu Kepteni John Komba. ________________________________ Wakati namuuguza Marehemu Baba, siku moja nilimshuhudia akilia Machozi. Nilimuuliza, kuna tatizo gani Baba? Akaniambia "Gerald, ndugu zako wananiua"... sikumjibu kitu, lakini lile neno...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uheshimiwa mtamu mpaka mtu anajiita mwenyewe, wakitenguliwa wanaweweseka! Cheo kinachobaki kinashikiliwa kama roho!

    Wakuu, Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa blaa, kwani hawapitii kuondoa hizo aibu ndogo ndogo? Uoga huu ulitakiwa kuwa kwenye uwajibikaji...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaani wewe unatumbua nini kwenye ubongo wako?

    Ni swali la upimaji IQ Mtu akikwambia njoo tugawane umaskini halafu ni swala la mchongo yaan wewe unatumbua nini?kwenye ubongo wako
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tunafunga GPRS, tupo Mwenge

    Jamani wanajamvi kama wewe unahitaji kufungiwa kifaa cha kieletroniki katika chombo chako cha moto ambacho kitakusaidia kuangalia mahali ambapo chombo chako kipo kwa muda wowote tunaweza kuwasiliana. Lakini pia hata kama huna chombo cha moto ila unamfahamu mtu anayehitaji pia tunaweza...
  10. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mbona pesa imekuwa ngumu sana, Mbona kila mtu analalamika, Kwani shida iko wapi?

    Hakuna salamu Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster. Mbona...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia ukitaka kununua gari kwa mtu (used)?

    Wakuu. Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia. Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya hatari zaidi usipokua makini. Sasa kuna vitu vya kuzingatia unavyotaka kununua, tutaviweka kwenye...
  12. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

    Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu. Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Legends wanaelewa mtu wa 4 hapa ni nani..😅😅

    unaambiwa Only legends will know who is the fourth guy here..😅😅😂 haina haja ya kuweka picha yake
  14. Mkenye Mkuu

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

    Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano. Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
  15. Perry

    JamiiForums Tanzania Iringa mjini mtu ukiumwa usiku unaweza kufa, hakuna Hospitali au Zahanati wanayokesha.

    Habari Zenu wakuu. Nimekuja Iringa mara moja kikazi, sasa usiku wa kuamkia leo mwili ni kama ulibadilika nikapata kitu kama homa kali sana, ilikua ni kama saa 9 usiku hivi nikasema ngoja nivumilie kukikucha tu niwahi hapo Aga Khan. Lahaula kwenye saa 12 alfajiri na madakika hivi nikamchukua...
  16. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Wazo gani la kwanza ukujia ukikuta mtu au familia imefuga ndege aina ya 'njiwa'?

    Si watu wengi au familia nyingi ufuga hawa ndege jamii ya "njiwa". Mimi binafsi nakuwaga na mawazo tofauti sidhani kama ni mimi peke yangu au na wengine?
  17. Wernery G Kapinga

    JamiiForums Tanzania Mwenye taaluma ya housekeeping anahitajika

    Mwenye taaluma au Uzoefu wa House KEEPING ANAHITAJIKA. Kituo Cha kazi ni Wilaya ya MBINGA RUVUMA. Kwa mawasiliano zaidi 0621538913 Mshahara Mnono mnoo. Karibu sana
  18. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Fikiria kila mtu ni msaliti ila hajagundulika tu,hii itakusaidia kupunguza mshtuko endapo mambo yakienda vibaya

    Wale ambao mnatembelea mitandao mbali mbali,kuna habar huko katika ule mtandao wa kindege,kwamba kuna mwamba ambaye yupo karibu na mkuu wa kaya,huyu mwamba kamnunulia tamu yake apartments kadhaa,na kila mwezi humpa milioni ishirini (20ml) za matumizi tu. Sasa ebu fikiria,tamu ya mwamba pamoja...
  19. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

    Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu. Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
  20. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Bosi kapenda mke wa mtu

    KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi, wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine wakishuka kwenye mabasi na daladala wakiwa wamewasili. Wafanyabiashara wadogowadogo walikuwa bize na...
Back
Top Bottom