Maandamano 7/7 yana potential participants wa aina mbili:
1. Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters)
2. Vyombo vya Dola (anti-democracy protesters)
Maandamano 7/7 yatakuja katika moja ya sura tatu zifuatazo:
✍️Umma wa Watanzania (pro-democracy protesters) nchi nzima kuandamana huku...
Kwanza kabisa niwakumbushe kuwa ELIMU haifananishwi na haina mbadala. Hata Fedha sio mbadala wa elimu. Unaweza cheza kamari ukapata hela ila hakuna kamari ya kupata elimu. Mtu hadi kuwa profesa wa chuo kikuu kajitoa na kupambana sana. Sio rahisi. Ni safari yenye machungu mengi.
Kama fedha...
Nashangaa kuona wafuasi wa chadema wanatumia mikutano Yao kujifariji kuwa wanakubalika🤣🤣
Hebu pokeeni ukweli huu.
chadema hamtakaa mshinde uchaguzi hilo msahau
hao watu siyo wapiga KURA wenu wanakuja kuwashangaa tu.
wapiga KURA Wapo nyumbani siyo hao mnaotumia nguvu kubwa kuwaita kwenye...
Najiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA?
Sidhaniiii kama wanauwezo uo Hawa watu, Hawa wanachunguza baada ya kutonywa dhidi ya tukio lililojitokeza.
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ametoa ufafanuzi wa kina leo Juni 23, 2026 bungeni kuhusu dhana ya Pato la Taifa (GDP) na Pato la Kila Mtu (GDP per capita), kufuatia kile alichokiita kuwa ni mkanganyiko mkubwa na mijadala inayoendelea kwenye jamii na mitandao ya kijamii...
Maneno huwa hayamtoki mtu bure ujue ni sehemu ya mawazo yake na moyo wake ulivyo. Ndioomaana ukisikia lugha za hatari kutoka kwa mtu chukua tahadhari naye mapema , mtu anapimwa kwa matendo na maneno yake.
"KINYWA CHA MTU KINANENA YALE YA UJAZAYO MOYO WAKE " YESU
Hamjambo!
Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu;
1) Mfalme/Rais.
Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja.
Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
Ipo Concept Moja kuwa MTU mwenye kichwa mviringo na mwenye kichwa kidogo ana IQ ndogo
Au ana poor cognitive ability.
Na vise versa yake kuwa watu wenye vichogo na vichwa vikubwa Wana good cognitive ability...
Je dhana hii inaweza ikawa na ukweli kiasi Gani ?..
Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali.
Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika, kupunguza mawazo, na kupata kampani. Hata kama huna marafiki wa karibu, ni vigumu kujisikia mpweke ukiwa...
Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa.
Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
amani
amani ya nchi
bila
chadema
chama
from
health
hii
kimbilio
kuanza
kuhujumu
mabeberu
maisha
mental
mental health
mmoja
mtumtu mmoja
nchi
sovereignty
taifa
taifa letu
waasisi
wamefanya
wao
where
Uwepo wa mtu yeyote Duniani ni uwepo wa zawadi awe anajua au hajui. Uumbaji umeweka zawadi ndani ya kila kitu kwa ajili ya kila kitu. Zawadi uliyokuja nayo siyo kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya Jamii. Mti wa muembe zawadi unayoitoa ni maembe ila wenyewe hauli maembe.
Zawadi uliyokuja nayo ni...
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele.
Kazi hii ina...
You have to deal with the real issue within the stomach, not kushona makalio.
Huwezi kutuzuia kwenda Kakamega kufanya mkutano kwa kuweka GSU, you have deal with the real issue in the stomach, not stitching the anus! Stool Itapenya tu!