mtu

  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ukienda kwenye wall ya dada wa Taifa iliyopo Instagram utawashangaa watanzania wengi wanavyomlalamikia mtu anayeishi marekani

    Mimi natembelea wall yadada wa Taifa iliyopo instagram jambo ambalo linanifikirisha sana hivi wale watu ni wazima kweli wanompelekea malalamiko yao mtu anayeishi marekani hivi wanajitambua kweli mbona tun watu waajabu sana Jambo ambalo watanzania wanatakiwa wajue hatima ya nchi yao ipo mikononi...
  2. nodetz

    JamiiForums Tanzania Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia kuna mtu anafanya warm up nafikiri utakuwa mpango wa kuingiza wapiga penati

    Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up. Sasa tusiangushane.
  4. John Sin

    JamiiForums Tanzania Bongo Nyoso mtu ana Certificate ya Clinical Officer anajiita Daktari (MD)

    Ukistaajabu ya mussa utayoona ya firauni. Yani hapa Tz unakuta mtu anajiita na kujimwambafy dokta na anapata heshima kubwa Kwa watu kama mtu aliesoma sana lakini ukijafatilia kwa undani unakuta ni certificate holder wa clinical medicine au nursing. Mtu huyohuyo hata majukumu Yake ya msingi...
  5. laii

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kuazima "kijinga cha moto" au "mkaa unaowaka" kwa nia ya kutumia kwenye ulozi au ushirikina

    🔥 Kijinga cha moto katika ushirikina huweza kuwa: 1. Kifaa cha kupeleka ujumbe wa kipepo – yaani, moto huo ukatumika kuteketeza au "kuwasha" madhabahu ya giza. 2. Njia ya kuingiza uchawi au uchafu kiroho kwenye nyumba ya mtu – kwa sababu mkaa huo una uhusiano wa moja kwa moja na chanzo (yaani...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  7. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mtoto mdogo nilitamani kuwa mtu uzima, ila sasa natamani kuwa mtoto mdogo!!

    So confused......!!!!! Is this true to everyone......????
  8. D

    JamiiForums Tanzania NI KOZI ZIPI KWA CHUO KIKUU ZENYE SOKO KWA SASA ZINAMFAA MTU ALIYESOMA HGE?

    Habarini za wakati huu wanajukwaa? Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
  9. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa ushauri wa kifedha bila kumfadhaisha mtu

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Makala maalumu ya historia ya Tundu Lissu: Ni hasa huyu mtu? Mambo saba (7) usiyoyajua kumhusu

    MAMBO SABA USIYO YAJUA KUHUSU TUNDU LISSU. - Courtesy: BBCSwahili.com Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu. Kwa wengi, yeye ni alama ya mapambano ya haki, demokrasia na...
  11. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Huwa nasangaa mtu akitumia DELETE keyword kwenye SQL

    Huwa nahisi ni hamna haja ya kufuta record permanently kwenye database Ni bora item uka i mark deleted kuliko kuifuta kabisa
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  13. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks wakati wa kufanya biometrics kwaajili ya passport na mengine yahusianayo?

    Heshima yenu wakubwa. Naomba kuuliza kama kuna shida kwa mtu mwenye dreadlocks (kubwa/nyingi) kwenye kufanya biometrics wakati wa kushughulikia passport? Pia kwenye kujaza form online, kwa mtu ambae mzazi wake alizaliwa 1950s na hana cheti cha kuzaliwa ila ana kitambulisho cha uraia, kwenye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana malaika wake special wa kutunza kumbukumbu za Kila ukifanyacho duniani MAISHA yako yote

    Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa ukifanyacho kinaandikwa, matendo yote, mazuri kwa mabaya ynaandikwa, ndio maana Mungu huwa anapata...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania kisa cha mtu aliyedanganywa na “mtaalamu wa kutabiri” (psychic), akajikuta akifanya kosa kubwa lililompelekea kufungwa jela

    Katika picha hii nitaweka Muhtasari wa Kisa kwa Mchoro ulivyo: 1. Picha ya kwanza (kushoto juu): Mwanaume anamuendea mtabiri wa baadaye (psychic), ambaye anamwambia namba “70323”. 2. Picha ya pili (kulia juu): Mwanaume anaenda kununua tiketi ya bahati nasibu (lotto) akitumia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Makinika! Hakuna tofauti ya ndoto na mtu, ndoto ndiyo mtu mwenyewe

    Salaam, Shalom! Ndoto ni Nini? Umewahi ota ndoto ukadhani unaota? Usilolijua ni kuwa, hakuna kinaitwa kuota ndoto! Ukisikia Imeandikwa akalala, Kisha akaota ndoto, SI maigizo, ni tukio halisi la wewe mwenyewe kuona kwa macho ya Roho Katika ulimwengu wa Roho. Mtu alalapo, afungapo macho ya...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Baada ya sanamu ya Rage ninashauri sanamu ya Mangungu ijengwe pia, Mtu wa maana kabisa

    Au mnasemaje waungwana? Huyu mtu wa maana kabisa mpenda haki na amani. Tukutane JUNE 25
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ame “crush” kwangu hadi namuonea huruma.

    Nikienda dukani kwakwe anachanganyikiwa sana, kuna muda anaongeza change, kuna muda ata haelewi anafanya nini. Hata anapopima vitu, anazidisha sana. Yani mke wa mtu anampenda ghafra mwanaume mwengine hadi anachanganyikiwa. Nadhan hajazoea kukutana na ma handsome, mana sio kwa kuvurugwa huku...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yabariki mtu binafsi kufungua mashitaka yanayohusu "Haki za Msingi na Majukumu" ( Basic Rights and Duties Enforcement )

    Sijui kama tafsiri yangu ni sahihi lakini the take home message ni hii kama nilivyoinakiri kutoka Tweeter kutoka kwa Olengurumwa Asante timu y’a mawakili na jomo la Majaji Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa...
Back
Top Bottom