mtu

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni wa watanzania na wanayo haki ya kufanya mabadiliko yoyote pale panapohitajika huu sio uchaguzi wa samia wala wa mtu mmoja

    Tutalazimisha mabadiliko yafanyike kwani huu uchaguzi sio wa samia wala wa nani, uchaguzi ni wa watanzania wote lazima tuongee lugha moja ndio uchaguzi ufanyike kwa haki hakuna haki kama mtu mmoja hajiamulie vitu kutoka chumbani kwamba uchaguzi uwe hivi au uwe vile bila wengine kutaka.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

    Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kauli zake, Sangu...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mtu akiingia chooni kujisaidia haja kubwa lazima ageuke aangalie alikotokea?

    Hili ni swali muhimu, kwa nini haangalii kule aliokoingia akiangalia, halafu akakaa au kuchuchumaa chooni?
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2 tumsaidiaje?

    Wakuu, Kuna mtu kanunua umeme wa milioni 2, Tumsaidiaje??
  6. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa kwa ukarimu hupokea zaidi ya kile ametoa

    Mithali 11:24 NENO [24] Kuna mtu atoaye kwa ukarimu, hata hivyo hupata zaidi, mwingine huzuia, lakini huwa maskini. Tukizungumza kuhusu utoaji, kila mtu ana picha yake kuhusu utoaji, wapo hufikiri wakitoa watapungukiwa, wapo hufikiri kutoa sio jambo la lazima, wapo wanajua wakitoa watabarikiwa...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akifeli kimaisha anakuwa "sadist"

    Hali hii mara nyingi naiona hasa kwa watu wazima wenye umri kuanzia miaka 40 na kuendelea, unakuta kapambana sana hapo nyuma Kuna fursa alizipata akazichezea matokeo yake anakuwa na hali flani mbovu ya kiuchumi . Sasa kinachokuja kutokea hapa kila atakaekuwa anakutana nae na anapitia maumivu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vyakula hatarishi kwa mtu mwenye acid reflux

    Baadhi ya vyakula hulegeza misuli ya LES (Lower Esophageal Sphincter) hivyo husababisha kuruhusu asidi ya tumbo kurudi juu. Pia huchelewesha mmeng’enyo wa chakula, hivyo chakula hubaki tumboni kwa muda mrefu zaidi. Kwa mwenye changamoto ya acid reflux inamlazimu ache kutumia vyakula hivyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna faida yoyote ambayo utamweleza mtu akaelewa vizuri

    Toka enzi timekuwa tunaona mwenge unazungushwa Nchi nzima na kuteketeza mabilioni ya pesa,kwa upande wangu mimi sioni faida za kukimbiza mwenge zaidi ya kupoteza pesa na kuwapumbaza wananchi. Mahala popote mwenge unapoenda sina hakika kunamwananchi utamuuliza faida za mwenge na akakupa majibu...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania MwanaJF Dennis Roberts ni mtu sahihi kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye akili nyingi. Huyu Dennis ni msomi anayeongelea kwa undani sana kuhusu Nuclear power, Solar systems...
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kujipa uhuru kiasi hiki ilihali uko kwenye chumba cha mtu?

    Ni wiki ya pili sasa naishi na mshkaji wangu X kwenye geto langu hapa Dsm kutokana na sababu zisizowahusu (Ninae nyumba mkoani, nipo hapa Dar kama mfanyabiashara X wa kupita tu) Jana usiku mida ya saa 4 nimebisha hodi nikiwa natoka mishen town, jamaa akawa anaitikia kwa mashaka huku anakukuruka...
  12. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu hatari kuwa naye kwenye mahusiano kama mtu "anayehitaji kupendwa"

    mahusiano bora ni yale ya watu wawili waliojaa upendo ambao wako tayari kushare upendo huo Ila cha ajabu sasa mahusiano mengi ya sasa hivi ni ya watu wawili ambao hawana upendo ndani yao na wanataka wapendane sasa unajiuliza hawa watu wao wenyewe tu hawana upendo ndani yao, hiyo nguvu ya...
  13. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ananitongoza, anatishia kuniendea kwa babu Niki endelea kumkataa

    Huwa natongozwa sana na wanawake, ila wengi hukata tamaa baada ya muda fulani, ila huyu mke wa mtu naona amedhamiria na hakati tamaa. Ni mwaka wa saba huu bado tu kila akioata nafasi analalamika kwanini simuelewi, anasema “ Hance ungekua mwanamke ningekuja kwa mzee Z, kutoa mahali” Wakuu...
  15. kaputula

    JamiiForums Tanzania Eti mtu anasifu mama kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam ni mfano wa uwezo kufanya maamuzi magumu.

    Nimestaajabu wakati wa mazishi ya Cleopa Msuya akisifiwa kama alikua na uwezo wa kufanya maamuzi magumu kiongozi mmoja akaona ni nafasi kumpigia mama debe. Akasema eti mama ana uwezo kufanya maamuzi magumu kama marehemu eti kwa kuamua kuwapa DPW bandari ya Dar es Salaam amefanya uamuzi mgumu...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa hujashiriki dhambi kimatendo ila umeshiriki dhambi iliyofanyika kwa watawala kumuangamiza mtu yoyote

    Hata Yuda alijua vipande vya pesa alivyopewa alijua ndio mwisho wa kumchoma yesu lakini alijikuta kama ameshiriki kifo cha Yesu. Vitendo vya kukubali au kubariki watawala kuanzia wananchi kuwassuport mpaka uchangiaji humu na kutoa ushirikiano ili watu waumizwe kumbukeni wote ni washiriki. Kwa...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machafuko kwenye nchi yanatokana pale mtu anapojawa na tamaa za madaraka

    Tumetoka kwenye utawala wa kisheria sasa tunaingia kwenye siasa za kutoana roho, lawama zote na kiini cha haya yote ni mtu mmoja tu mwenye tamaa ya madaraka. Hii inaweza kupelekea vita vya sisi kwa sisi Tanzania kwa sasa sio salama tena kuna uwezekano wa machafuko kutokea hatakama watanzania...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  19. M

    JamiiForums Tanzania Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

    Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:- 1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi. 2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
  20. jannelle

    JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa “mume wa mtu”

    Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa.. Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade). Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
Back
Top Bottom