mtu

  1. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Sioni shida pale mtu anakamatwa kwa tuhuma na kupelekwa mahakamani. Tusilalamike lalamike tu

    . Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora ten times kukubalina na njia sahihi ya kisheria ya kushugurikia watuhumiwa inayohusisha polis...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo vijijini mtu anaweza kuuliwa kwa kuiba laptop ya laki mbili !?

    Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili . Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
  3. Daby

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna watu wana experience haya mambo? Cognitive dreams

    Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hii hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu. Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi miaka 3. Kwanza japo amefariki zaidi ya miaka 10 sasa lakini karibu kila siku lazima niote tupo...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Nakumbusha kidogo tu, Lissu ni mtu wa aina gani huenda watu wameshasahau

    30 Jul 2015 Mbunge Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria wa CHADEMA alikutana na ripota Fredrick Mwakikato wa TZA ) na kuzungumzia ishu kadhaa ikiwemo ya Lowassa kujiunga na CHADEMA.
  5. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ukipata jitu kama hili yani unapotea mtaani unakuwa mtu wa kutafutwa kama umepotea.🤤

    Acheni wakuu , penzi la tipwa tipwa ni bbnkubwa
  6. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ugali umetukuza usidharauliwe na mtu yeyote

    Wakuu, hili suala la kupikapika kuna members humu wanaudharau UGALI kwamba ni chakula cha mifugo km Nguruwe na Mbwa ila nyuma ya Pazia ukiangalia unagundua ni watu ambao UGALI hawajui kuupika wanapika ujinga ujinga mwisho wanatoa kitu DOSO yaani MALOLOSO kitu kibichi kibichi mpaka wageni...
  7. lost files

    JamiiForums Tanzania Taifa Lipo Hatarini, Kila Mtu Anaona Anaweza Kua Kiongozi.. FAILED POLITICAL CULTURE

    Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua Muwakilishi wao.. Lakini Jambo Hilo Lina maana gani?kukua Kwa demokrasia??Muamko wa Vijana??Mimi Nina...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

    Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;- Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza, Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
  9. Malpighian

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kutoa milioni 5 kwa mtu atakayenionyesha hili andiko

    Habari Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mafundisho mbalimbali katika makanisa kuhusu somo la Ubatizo (Baptize), kwa sehemu kubwa kila inaonekana kila kanisa Lina namna yake ya uelewa juu ya ubatizo. Hoja yangu ni hii, Kama dini ya kikristo muongozo wake ni Biblia. Nipo tayari kutoa kiasi cha Tsh...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

    Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena Ukienda Tabora imekuwa Toronto na...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Je kuna madhara gani kufanya mapenzi na mtu aliye hedhi/period? Je Kitaalamu na Kiimani

    Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza. Sababu mara 4 nshawahi chuja nafaka of course nlivaa mpira maana nliona imenijia nafasi siwezi iacha nikala mzigo hivyo hivyo. Je kwa imani ya dini zetu na kiafya imekaaje? Mkumbuke zamani walikuwa hawana condoms.
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  13. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine!

    KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE! Fuatana nami Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?" Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo? Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na elimu ya...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtu anayesema tusirudie kuchagua wabunge vilaza tena je huyu mtu anayeongea hivi na yeye ni kilaza mkubwa ambaye kaamua kujitoa ufahamu.

    Yaani kuna wanaJF ni vilaza Sana Mfano huyu jamaa anajiita Pascal Mayalla , anasema kuwa watanzania tusichague wabunge vilaza Kama ilivyokuwa 2020. Swali je mwaka 2020 sisi hao wabunge wananchi tuliwachagua au walipitishwa tu na Ccm?. Kwa kutumia Dola.?
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mtu Mwenye fikra finyu pekee ndo anaweza kusema wakenya wanaharibu nchi yao

    GT Katika ulimwengu wa harakati za mapinduzi ya kisiasa na kusukuma nchi iende mbele kile kinachotokea Kenya ni sahihi kabisa maana wanaijenga nchi yao. Ndugu zangu hakuna taifa lolote tajiri ambalo halijapitia madhira kama ya Kenya. Wanachofanya wakenya ni kutafuta kuheshimiana ili serikali...
  16. Daby

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ashtakiwa baada ya kumtupa kwa nguvu mtoto wa Kiafghani chini

    Angekuwa mtu mweusi Kila maistream media ingeweka hii video. Ni Yale Yale mtu mwingine akiua watu kwa bunduki utaskia terrorist ila ngozi nyepe ataitwa a gunman who is mentally distorted. ================= Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kosa la kushambulia mtoto wa...
  17. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Aina ya mansion ambayo ukijenga lazima mtu akipita aulize hii nyumba ya nani – 6 bedrooms mansion +255624004650

    LEO SINA MAELEZO MENGI :D 6BEDROOMS SEBULE 3 BALCONY KAMA ZOTE PLOT SIZE 2000SQM ESTIMATE MPAKA ROOFING 260M CALL/WHATSAP +255624004650
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Leonel Ateba sio forward,Ukikutana na mtu anamfananisha Pacome na Mpanzu huyo hajui mpira na kaukosea mpira heshima

    Hawa wachezaji wa Simba ni Useless kabisa ,timu iko nyuma dk ya 70 wachezaji wanatembea ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu . Wachezaji hawana fighting spirit, wazito na hawajui Soma Pia: Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa...
  19. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Si kile kinachoandikwa tu,bali maisha yenyewe ya mtu ndo maandiko ya kweli. Na Kalooist atakapoanza kuhoji huo ndo mwanga na uhuru wa kweli

    Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi? Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi? Mungu ni nini na nani na yuko wapi? Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
Back
Top Bottom