mtu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hakuna kuhama mtu chama Akishindwa uchaguzi- Yerico Nyerere

    Kweli nimeamini mwanasiasa akikuambia sasa hivi ni usiku toka nje ukaangalie kama kweli kiza kimetanda Aliyekuwa kada wa CHADEMA Yeriko Nyerere kipindi cha uchanguzi wa ndani wa chama chake hicho cha awali kutafuta mwenyekiti wa chama alikuwa upande wa Freeman Alikuwa na kauli mbiu yake...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Marehemu hakosi sifa:Kwa Marehemu Ndungai tutasikia sifa ambazo Serikali ya CCM itaziweka na kila mtu kujisahahu

    Najua wale chawa wa Jf,UVCCM,wasanii,CCM mafisadi na wengine tutapokea kila aina ya kumsifu Marehemu Ndungai usije shangaa mpaka Samia na genge lake la CCM wakasema alikuwa magufuri mwengine.
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukitaka kumsahau mtu uliyempenda sana unafanyaje?

  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Kama kuna mtu yeyote nilimkosea, naomba anisamehe. Ule ulikuwa ni ujana

    Wakuu, Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi. Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu. Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 KUMBUKIZI | Dkt. Kigwangalla: Kama kuna mtu ataweza kushindana na mimi kwa vigezo, akachukue fomu. Nzega ni njema

    Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
  6. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu Team Wazalendo Mnatakiwa Kumlilia ni B.W. Mkapa

    .
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kikweta siyo mtu mzuri kwa inchi yetu ya Tanganyika

    Napenda kusema huyu mtu ni hatari sana kuliko maradhi yote yanayoisumbua Tanganyika na ni kati wa marais waliyoshindwa kuiongoza kwa sababu za wizi rushwa na kila kitu kibaya,ngoja avuliwe nguo tumuone,amefanya madhambi makubwa sana huyu mzee na tutasikia mengi sana Nipende kusema huyu ndiye...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kalenga inahitaji mtu sahihi wa kutumwa ambaye ni mimi naombeni kura zenu zote – Grace Tendega

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Grace Victor Tendega, amesema wakati umefika kwa wananchi wa Kalenga kumchagua mtu sahihi wa kuwatumikia, mtu anayejua namna ya kuchukua kero za wananchi, kuzipeleka sehemu husika na kurudi na majibu yenye tija. Akizungumza...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtu kuagiza vinywaji kwa sifa Nni ulimbukeni na ushamba au ni normal?

    Eti ukienda bar hata ndio Una hela ila umeagiza mezani azam energy ya can,black and white,Serengeti lite 21.hivi kwa uelewa wako unahisije ukijipata NI lazima uweke bango kama hivo?
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Shida mtu akiwa muhongo hata siku akongea ukweli anashindwa kuaminika , polepole ni kama zitto kabwe na Mbowe au Lipumbana na Mrema!.

    Katika siasa kitu kinachoitwa Msimamo ni muhimu. Najaribu kuangalia walichokuwa wanapambania akina Mrema TLP Lipumba na Mbowe bado sikioni. Hivyo naona na Polepole anapita njia zilezile. Anabomoa nyumba aliyoijenga mwenyewe na kusema haifai na wala tusiwaamini mafundi walioijenga.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  13. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano kila mtu ana mapungufu yake , kumuacha mtu ni kutafuta mapungufu mapya kwako

    Usifikirie kubadilisha mahusiano ndio hautakutana na matatizo/ changamoto . Kila mtu atakuja na changamoto zake mpya. Kuna muda jifunze human nature , mapungufu madogo ya mpenzi wako yavumilie. Unaweza ukamuacha mtu m baya ukakutana na m baya zaidi. Ukasema ni afadhali yule
  14. C

    JamiiForums Tanzania Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

    Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie. TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata. Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika. Naomba msaada Tafadhali. Alie...
  15. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Kila mtu Tanga anamiliki TZS3,204,244 kwa mwaka

    === Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Si sawa kuzima mtandao kisa mtu mmoja, anayetaka kuongea yake!

    CCM is a powerful and strongly party!,who can bend it's majority decision? Wajumbe wote kwa nguvu moja tulimteua Dr.samia awe rais wetu,pia amalizie nge yake ya pili katika awamu yake ya sita(6). Sioni lolote linaloweza kufanyika kubatilisha uamuzi uliokwisha fikiwa na vikao vyote halali vya...
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kila mtu amezaliwa akiwa muislamu, ubatizo ndio unaomfanya mtu kuwa mkristu

    ..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street". Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi Nawasilisha
  18. kiss ov love

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane. Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
  19. Jesusie

    JamiiForums Tanzania DC Shaka: Hakuna atakayemwaga damu ya Mwanakilosa mwenzake tena, sio damu tu hata wa kumwaga Mkojo hapa hayupo tena-VIdeo

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma, Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji, DC...
  20. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Namna ya kumpatia huduma ya kwanza mtu aliyerogwa .

    Habari zenu ndugu wanajamii forum. Tujadiliane kidogo mbinu za kumnusuru mtu aliyepata madhara ya kutupiwa uchawi. Nasikiliza mawazo yenu.
Back
Top Bottom