Serikali inayo jali Utu wa mtu itoe Tamko kuhusu Polepole

Hivi nawaza,huyu jamaa wa kithembe wanaembebabeba huenda bado anaagizwa kufanya kazi zake za mauaji alizozoea kutumwa since kipindi Cha funguo....sema hawa wanajuana wenyewe
 
serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku

Habari kubwa kuliko kampeni zao. Mtu wao maarufu, mwandamizi wamekaa kimya.

Nafikiri ni Samia anayeweza kusema neno au kutoa ruhusabwengine wote wanaogopa kuharibu vitumbua vyao kama sio kutekwa. Inaonekana alikuwa na hasira sana na Polepole.
 
Na kukaa kimywa itamaanisha ni sirikali sii ya kazi na utu ila ya kazi na utumwa.
 
inashangaza sana Serikali inayojali Utu wa mtu inawezaje kukaa kimya kwenye Jambo kama ili
 
Habari kubwa kuliko kampeni zao. Mtu wao maarufu, mwandamizi wamekaa kimya.

Nafikiri ni Samia anayeweza kusema neno au kutoa ruhusabwengine wote wanaogopa kuharibu vitumbua vyao kama sio kutekwa. Inaonekana alikuwa na hasira sana na Polepole.
Yule mtu ameona Upepo ni mbaya hasa huu wa Polepole akipotea poleple huyo mtu nae atapotea maana polepole ameshaongea Mengi kuhusu huyu mtu tena machafu
 
Serikali ya BURUNDI?
Au serikali gani inayojari utu!?
ipi?
 
Yule mtu ameona Upepo ni mbaya hasa huu wa Polepole akipotea poleple huyo mtu nae atapotea maana polepole ameshaongea Mengi kuhusu huyu mtu tena machafu
Hii ndio itakuwa turning point. Hii inaweka wazi utawala wao ulivyo mbovu na wa kikatili dunia nzima.

Ukiongeza na kesi ya Lissu, ukatili waliowafanyia wale Wakenya Agatha Atahuire, Boniface Mwangi wako uchi hapa Tanzania na duniani.

Hawawezi kuwa na amani au nchi hii kubaki salama. Itabidi watawale kwa ubabe sana na kuongeza vikosi vya utekaji sababu wananchi hawawakubali. Hata hivyo hawatafanikiwa kwa muda mrefu. It is not sustainable strategy ya muda muda mrefu.
 
Back
Top Bottom