Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe
Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi
KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE
Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha.
Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha...
REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI?
Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?
Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible.
siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena.
unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla .
Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k
Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
History ya mtu huandikwa na watu wengine, kile tunachoandika sisi kuhusu maisha yetu kinaitwa memory (kumbukumbu). Je watu wameandika na kuandika history Gani kukuhusu wewe iwe mioyoni mwao au mahali popote hadi sasa?
Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka .
Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza .
Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki.
Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki.
Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi.
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na...
Walidhani kwa kumfungia Tundu Lissu ndani mambo ndio yatakuwa mepesi, kumbe sasa ukuta mzima umepasuka ni afadhali yangekuwa ya mlango tu.
Jinsi siku zinavyokwenda ndio CCM inavyozidi kupoteza control ya mambo mwishoni wataishia kutoa amri ya piga vunja miguu wakatibiwe hospitali, hapo ndio...
Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon ,
🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka
Britanicca
Habari zenyu wana JF
Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi.
Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.