mtu

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa

    Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao. Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ? Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa mtu anapokuambia amekumiss anakuwa na maana gani haswa wakuu?

    Za saizi wajumbe? Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani. Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana " Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania BBC Africa: Tanzania abductions.

    https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa. Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi. Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika. Licha ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni bank gani tanzania mtu akifa basi pesa zake zitabakia kwenye account kama zilivyo?

    Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu: Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe na 'Tyson' kawekwa na mtu kusaidia kiti? Kweli hapo hakuna Chama kuna genge la watu.

    Yule mdunguaji, ambaye anawadungua Kunguru na Makinda yao akiwa kusikojulikana, jana amempopoa 'Tyson' kuwa eti kwenye kazi yake ya kusaidia kubeba kiti, alipigiwa chapuo na mtu mumoja ambaye hata hivyo Mdunguaji hakumtaja kwa jina. Kama ilivyo ada, tangu mdunguaji aanze kuwapopoa Kunguru...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyezowea umasikni, hakomboleki, Nyumba na (Mapagala)mengi ya watu masikini ndio yenye bendera za CCM

    Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM? Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao! Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...
  8. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

    My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma uchumi hata kwa ngazi ya Astashahada atakubaliana na Mimi kuwa Magufuli aliua uchumi wa Tanzania

    Kwa wenye roho za kichawi si rahisi kunielewa hapa. Kwa wenye mtindio wa ubongo si rahisi kunielewa hapa. Magufuli aliua uchumi wa Tanzania kwa kiwango kikubwa sana. Kama angemaliza miaka 5 ya awamu ya pili angeua uchumi wa Tanzania kwa 90% mpa 100%. Uchumi imara wa Taifa lolote unategemea...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake

    Sura ya ndugu Hamphrey Polepole yaonyesha udharirishaji wa hali ya juu kwa taifa lake na watu wa Aina hii uzalendo huwa unawashinda. Ushauri wangu kwa watanzania wote mjibuni Polepole kwa hoja ili atambue kipindi Kabla hajajivua madaraka alikuwa miongoni mwa hawa anaowadharirisha. Penda taifa...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo, mtakatishaji fedha maarufu barani Afrika alikuwa na agenda gani Ikulu jana (Agosti 12, 2025) kabla ya Harambee ya CCM?

    Tuna haki ya kuhoji: Mtu huyu ana rekodi chafu na ana kesi nchini Afrika Kusini lakini jana amebainisha mwenyewe kuwa alikuwa nchini, saa chache kabla ya Harambee ya CCM. Hapa kuna ujumbe gani kwetu?
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hamis77 Mtu wa Kitabu Anayefaa Kuenziwa

    Jamaa amakuwa akitoa madini sana humu na kutupa ilimu akhera kwa weledi mkubwa sana bila hata kututoza. Nashauri awe anatoza nyuzi zake angalau basi hata Tsh 50,000 kwa uzi mmoja. Najua atakuwa anapigwa vita na kuchukiwa na watu. Nikija Bongo nitamtafuta nimpatie mbinu za kijasusi nyingine za...
  13. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Huwa nachukia nikimsikia mtu anarudia rudia kusema 'mtu na dada yake' ninapozungumza naye

    Wakuu huwa napandwa na hasira Kali mtu akiwa anarudia rudia neno 'mtu na dada yake'. Jana Kuna mtu mmoja nilimrukia na kumgaragaza kama chui jamaa mmoja aliyekuwa anarudia maneno haya katika Kila sentensi lakini nilijutia. Hebu naombeni ushauri jinsi ya kuepukana na hasira inayoyoletw na maneno...
  14. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa kulipia maji Iringa uwe automatic Mtu ukilipa tu maji yaanze kutoka

    Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili. Hii ni kero kubwa sana kwangu na kwa wengine, nashauri mfumo wa kulipia maji uwe automatic mtu...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona maajabu ya JF. Ina uwezo wa Kutabili kesho muda ambao mtu atapost Jambo. Hii hata Wazungu hawajaweza.

    Inaonesha kesho (tomorrow kwa lugha ya Mabeberu) muda na post ambayo mtu atatuma na jina linaoneshwa kabisa ingawa hapo kwenye majina mimi nime hide. unaweza isoma leo kabisa in advance. Angalia mwenyewe hapo chini. Nimeshangaa sana. Kwa kweli teknolojia inakua sana.
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Inakuja siku ambayo Uhalali wa Mtu kukubaliwa kisiasa itakuwa kama aliwahi kusimama kuitetea Chadema au Viongozi wake

    Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo nyingi. Yamewahi kuiongoza dunia hasa kijeshi au kibiashara mataifa ya Uingereza, Italia, Hispania...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nini faida kwa mtu kuzaa watoto?

    Kuna mjadala nimeuona Twitter watu wameulizwa hili swali na limekosa majibu ya maana kabisa!
  19. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume mtu nzima mwenye mke na watoto unachanganyikiwa na Mapenzi?

    Hivi hii imekaaje? Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo? Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na...
Back
Top Bottom