mtu

  1. JamiiForums Tanzania Alitamani awe nani huyu mtu?

    Katika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana, Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho kwa akili ya kawaida unaona hakina udhamani wowote ila yeye bado kakifikiria kukifanya hicho hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Mahafali ya Chuo kikuu Dodoma; Rais Magufuli atunukiwa shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho. ==== Rais Magufuli awasili...
  3. JamiiForums Tanzania Dhamira ya kuua upinzani ni kwa faida ya Chama Tawala au Ubinafsi wa mtu mmoja?

    Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
  4. JamiiForums Tanzania Ushawahi kumuuguza mtu mwenye matatizo ya akili?

    Habari JF, Ningependa kujua subjective experiences zenu kuhusu kichaa. Ushawahi kuumwa kichaa? Ushawahi kukumbana na kichaa? Ulijuaje huyu ni kichaa? Wewe au familia yenu mshawahi kuwa na kichaa? Mlienda wapi kutafuta msaada? Hospitalini? Kanisani? Kwa Mganga? Alipona? Alipona kabisa, au...
  5. JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    This is too much.. SIKU chache baada ya Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo la jijini Dar, Josephat Gwajima kumtusi Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini, Polycarp Kardinali Pengo, taarifa nyuma ya pazia zimeeleza kuwa mchungaji huyo ametumwa na kikundi cha watu fulani, Uwazi...
  6. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki amwibua Mwakyembe, adai hana elimu ya kumshauri yeye mwenye digrii 4. Kama anapenda siasa aanzishe chama cha siasa

    "Kama msanii unang'ang'ana kuimba siasa na kukosoa serikali basi amua kuachana na muziki uanzishe chama cha siasa. Lakini kama unataka kupata maslahi kwenye muziki, basi nyimbo hizo hazilipi. Haiingii akilini nina shahada nne halafu msanii ambaye hajaenda hata shule anatunga nyimbo za...
  7. JamiiForums Tanzania Dunia imejawa na kila kitu cha kila mtu wivu ni uzembe wa kufikiri

    Usipojitambua mwenyewe wanaojitambua watatafuta namna ya kukutambulisha na wewe kukubali utambulisho huo kuwa ni wewe. Dunia umejawa na upekee kwa ajili ya kila mtu wapekee kama wewe na siyo mwingine na hii inatokana na ukweli kuwa upekee ndiyo ladha ya maisha "varieties is the spice of life"...
  8. JamiiForums Tanzania Mtu akikuuliza mbona haufanyi/hauwi kama wenzako unaweza kumjibu hivi

    Hatukuumbwa kufanya vitu vile vile na kwa namna ile ile wote. Kila mtu ana upekee wake na namna yake ya kufanya mambo yake. Siwezi kuwa kama huyo unayetamani niwe kwa sababu mimi ni mimi na huyo ni huyo, na unafikiri nikiwa kama huyo mimi halisi nitakuwa kama nani? Ukiona umefanya jambo halafu...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

    Wanabodi, Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda. Andamana nami...
  10. JamiiForums Tanzania Umasikini si kilema angalia potentials za mtu

    Kuna dada alinihadithia alivyokutana na mume wake. Walisoma wote shule ya msingi enzi zile za ujamaa hakuna English Medium wote tulikuwa St Kayumba. Mume wake alikuwa anakuja shule na deli la Ice cream, nyumbani hali haikuwa nzuri sana na kila mtu alichangia alivyoweza. Mama aliuza maandazi...
  11. JamiiForums Tanzania Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana

    Usalama wa mtu anayetoa pesa kwenye hivi vibanda vya huduma ni mdogo sana. Leo bi mkubwa alitembelea kibanda kimoja kwa ajili ya kupata huduma ya kutoa salio,na alifanikiwa kutoa kiasi cha mia nane. Baada ya kupata huduma wakati anatoka katika eneo hilo kama hatua tano hivi, ghafla akatokea...
  12. JamiiForums Tanzania Nahisi nchi yetu pendwa sasa inatamani uchumi wa kizimbabwe Zimbabwe, uchumi wa kwenda sokoni na kapu la hela

    Nahisi nchi yetu pendwa sasa inatamani kabisa uchumi wa kizimbabwe Zimbabwe, uchumi wa kwenda sokoni na kapu la hela, uchumi wa kununua Raba milioni saba. Washangiliaji wasoaibu wala akili wanashangilia bado kama walo na usingizi wa pono wakisahau kuwa mifuko ya rambo ya kubebea hela za...
  13. JamiiForums Tanzania Watishie CCM huyu jamaa kila mtu atatoa tamko, na hapa povu litawatoka tu

    Hadi Lugola anaweweseka!! jamaa anawanyoosha balaa Huyu jamaa anawaumiza kichwa hadi leo ***Mtapata taabu saaana***
  14. JamiiForums Tanzania TABORA: Mtu mmoja afariki baada ya kupokonywa hirizi zake

    Michael Paschal mwenye umri wa miaka 33, mkazi wa Uhemeli Ndala, Nzega, mkoa wa Tabora, afariki baada ya kuporwa hirizi zake na polisi akifanyiwa upekuzi. Kijana huyo ambaye ni bodaboda alifikishwa kituoni mara baada ya kumkaba na kumchania sare CPL Lucas aliyekuwa katika majukumu ya usalama...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Siasa ya rushwa, utajili wa FEDHA na maudhui ya kutovunja misingi ya Maisha ya MTU mwingine

    Hakika kila mwanadamu anapenda kuishi MAISHA ambayo yanamipango ndani yake kuanzia level ya kuwa pekeyako. Tumeshuhudia watoa huduma wengi wakitekeleza maneno ya mwalimu Nyerere Kwa vitendo ikiwemo Ubepari, kutoa na kupoke rushwa, kuwa na vyumba vya Kipanya Kwa ajili ya kuzuia na kucontrol...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

    Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola. Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri? --- Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa mke wa mtu sumu unasema unamaziwa haya sasa

  18. JamiiForums Tanzania IGP Sirro amtaka kijana anaitwa Shabani anaeonekana kwenye video akitishia mtu mwingine kwa bastola kujisalimisha polisi haraka sana

    ==== Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyefahamika kwa jina la Shaban anayeonekana kwenye kipande cha video akimtishia mwenzake kwa bastola kuripoti kituo cha polisi mara moja na kusalimisha silaha yake. Update 2. MTUHUMIWA AKAMATWA.
  19. JamiiForums Tanzania Aliyevujisha siri na kusababisha Al-baghdad kuuliwa ni mtu wa karibu na amelipwa $25 milioni

    Mzuka! Siku zote kikulacho ki nguoni mwako. Inasadikika aliyevujisha siri alipo gaidi boss wa ISIS Abubakar Al Baghdad alikuwa mtu wake wa karibu. Jamaa huyo ambaye ni mwarabu wa sunni huenda alichukua uamuzi huo kumsaliti Al Baghdad baada ya familia/ ndugu zake kuuawa na ISIS. Kabla...
  20. JamiiForums Tanzania Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

    Jana nilipokea simu kutoka kwa rafiki angu mmoja (wa kike) akaniita CONTROLA naomba uje home nisaidie kufunga TV yangu ukutani, nikamtania nikamwambia ''naona umejikakamua umevuta flat, au siyo?'', akanichekea pale basi. Nikamalizia mambo yangu then nikaenda nikamkuta anaangalia TV. Kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…