Alitamani awe nani huyu mtu?

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
858
1,480
Katika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana,
Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho kwa akili ya kawaida unaona hakina udhamani wowote ila yeye bado kakifikiria kukifanya hicho hicho ambacho hakina dhamani.

Swali la kujiuliza huyu alitamani awe nani haswa katika kufanikisha azima ya maisha yake ya ubunifu kama huu?
Mimi nimeipenda kazi hii sana hata kwa kuiona tu
FB_IMG_1574365456004.jpg
FB_IMG_1574365438186.jpg
FB_IMG_1574365444182.jpg
FB_IMG_1574365418967.jpg
FB_IMG_1574365413386.jpg
FB_IMG_1574365407158.jpg
 
Katika ubongo wa mwanadamu kumejawa na kila aina ya vipaji vya kufikirisha sana,
Hasa pale mtu anapochukua mda wake mwingi sana katika kuutafakari uumbaji wa Mungu na kuamua kufanya kile ambacho kwa akili ya kawaida unaona hakina udhamani wowote ila yeye bado kakifikiria kukifanya hicho hicho ambacho hakina dhamani.

Swali la kujiuliza huyu alitamani awe nani haswa katika kufanikisha azima ya maisha yake ya ubunifu kama huu?
Mimi nimeipenda kazi hii sana hata kwa kuiona tuView attachment 1268928View attachment 1268930View attachment 1268931View attachment 1268932View attachment 1268933View attachment 1268934
Ni bonge la kipaji sana kwa public
 
Ukiwaza mbali zaidi au nje box, kuna mtu anaweza akachukua wazo(concept) ya huyo msanii kisha akatengeneza kitu cha kutingisha dunia!

Hao nzi wanaweza wakafanyiwa sofiscation wakawa wanaruka kwa kuwa programmed au hata remotely controlled, wakabeba sumu na kwenda kumuangamiza adui akiwa amekaa au amelala au anahutubia wafuasi wake au vyovyote vile
 
Duuuh umezama mbali kweli
 
Back
Top Bottom