mtu

  1. JamiiForums Tanzania Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

    Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore. Ukiwa peke yako unakuwa unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio...
  2. JamiiForums Tanzania Kila mtu Tanzania anataka kuwa msanii, hii ina maana gani ?

    Katika miaka ya hivi karibuni watanzania walio wengi wanaonekana kuelemea upande wa sanaa katika kila kitu.Sanaa ipendwayo zaidi siyo ile ya uchongaji vinyago na uchoraji vibonzo ,La ! bali ni kuimba na kucheza muziki na kubwatuka kwenye maigizo. Fedha nyingi za masikini na matajiri zinaishia...
  3. JamiiForums Tanzania Huwezi kumpiga mtu na Kumnyima haki ya kulia

    Naandika haya nikitambua kwamba kila mtu anaweza kuwa na tafsiri yake kwa mujibu wa mtazamo na uelewa wake."Kuwa na uwezo au haki ya kumpiga mtu hakukupi haki au uwezo wa kumzuia kulia"Huu ni msemo wa wenye hekima wengi. Ni wajibu wa serikali na viongozi wote wa serikali kuhakikisha kwamba raia...
  4. JamiiForums Tanzania Mifumo mingi ya Tanzania ni ya kizamani. Usalama kumtaka mtu mpaka watumie third party, why?

    Nashangaa tunashindwa sana kumtrace mtu alipo mpaka kuwaita unaowahisi uwatese kujua fulani ni nani? Mifumo ya kisayansi na teknolojia haijatumiwa vema na Majeshi yetu, Hii ni ama walio na nafasi hizo walizipata kwa bahati au teknolojia yetu iko chini sana, Unamkamata mtu umtese akupe habari...
  5. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ukiwa na mtu au mwenza umekaa naye akifanya linakukera?

    Ni jambo gani linakukera sana kama umekaa jirani na mtu au mwenza linakukera? Mimi yangu ni haya: 1. Nimekaa jirani na wewe halafu uanze kupekenyua pua kwa vidole aisee hii inanikera sana. Ukifanya hivyo halafu bahati mbaya uniguse lazima nikuchenjie maana inanikera kuliko maelezo. 2. Lingine...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye degree anapoenda kujifunza kazi ya waliokosa Elimu ni ujumbe gani tunapata kuhusu Elimu yetu?

    Nimetoka kuzungumza na mpwa wangu sasa hivi anaomba msaada wa cherehani akajifunze kushona nguo, ndio mradi aliobuni baada ya kusota miaka 2 bila ajira. Amesoma ana degree Bachelor of Arts in Community and Development Studies. Kaniambia ameshapata mtu wa kumfundisha na mahali pa kujifunzia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu hachukizwi na uchafu wake?

    Utakuta mtu anajitolea hewa chafu ndani mwake tena mara nyingi tu na hata hachukizwi na harufu yake lakini kosa afanye mtu mwingine atachukia kweli. Utakuta mtu anajichezea tu kikwapa chake na kunusa kabisa. Kosa asikie kiharufu cha kwapa ya mwenzie. Utakuta mtu uchi (ashakum si matusi) wake...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ni mtu mwenye maono, uthubutu na misimamo, anafaa kuwa Rais ajaye wa Tanzania, Mungu akutangulie, akulinde na akupiganie

    Awali ya yote napenda kukiri kwamba sijatumwa wala kutumika na yeyote kuandika juu ya hii mada, ni maoni na mtazamo wangu binafsi na pengine ni mtazamo wa wengine wengi wanaomtazama Lowassa kama ninavyomtazama mimi. Katika ulimwengu wa siasa, jambo dogo linaweza kujadiliwa kwa marefu na mapana...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tanasha ni mtu sahihi kwa Diamond Platnumz

    Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi maana mondi kiukweli kweli alizidisha kuchepuka hata kama ni mwanaume sio kwa vile. Tanasha ni mtu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Mh Rais Magufuli, jina la John maana yake ni ‘Mtu aliyependelewa na Mungu na kupewa baraka zote’

    Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Kabudi ametoa tafsiri ya jina la John kwa mujibu wa Biblia kuwa ni mtu aliyependelewa na Mungu wa mbinguni na kupewa baraka zote. Tafsiri hii imetolewa na Prof Kabudi mbele ya Rais Magufuli, nami Johnthebaptist nakubaliana na huyu mzee wangu wa Kanisa pale St Alban...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaondoka madarakani kwa mujibu wa Kanuni na Katiba ya CCM na Katiba Nchi

    Aman iwe nanyi wakuu Rais Magufuli amedai kuwa licha ya mashinikizo mengi kutoka kila pande lakini yeye ataondoka madarakani kwa mujibu wa katiba ya CCM na nchi wala hataongeza miaka maana kazi ya Urais ni ngumu sana. Amedai kuna watanzania wengi tu ndani ya CCM wenye kuweza kuongoza nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Kapotolo namtafuta huyu mtu jamani

    Kama una id mpya plz nijulishe ila nakutafuta mwaka wa tatu sasa. Please njoo pm. kapotolo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawezaje kuona ni sawa mtu kukaa mahabusu tangu Juni 2017 hadi Desemba 2019 na kuachiwa huru na Mahakama kuwa hana hatia?

    Watu wanasema suala la haki ya dhamana ni suala la katiba, hapana, mie napinga kwa nguvu zote kwamba hili ni suala serikali inapaswa kulishughulikia mara moja kwa sababu lina ukosefu mkubwa wa haki za binadamu na uonevu kwa wananchi. Suala la kuwa na makosa ambayo eti hayana dhamana ni uonevu...
  14. JamiiForums Tanzania Matiko akiri kumiliki silaha

    Matiko akiri kumiliki silaha Najiuliza swali fikirishi kwamba ni nini cha ajabu huyu mtu kumiliki silaha, kwa hadhi yake kama mbunge? ===== Matiko akiri kumiliki silaha Alidai mahakamani wakati akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, baada ya kuhojiwa na Jamhuri dhidi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais leta maridhiano ya Kitaifa, sisi CHADEMA tuko tayari

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amemtaka Rais Magufuli kuleta maridhiano ya kitaifa na kwamba yeye na chama chake wamenyoosha mkono wa mapatano. Ifuatayo ni Hotuba Fupi ya Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Tanzania Freeman Aikael Mbowe mbele ya Watanzania katika kuadhimisha miaka 58 ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Mwili wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini waopolewa

    MWILI wa mtu ambaye gari lake liliingia baharini katika kivuko cha Likoni maarufu kama ‘Likoni Ferry’ jana saa nne na dakika 20 mjini Mombasa umeopolewa. Polisi limemtaja mtu huyo kuwa ni John Mutinda mwenye umri wa miaka 46 na wakati mwili wake ukiopolewa kutoka baharini, mkewe Ruth Mueni...
  17. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba 'Team Antony Joshua' tutambuane mapema kabla leo mtu hajaenda kufa ulingoni na ubingwa kurejea kwake

    Leo Andy Luiz atajuta kumfahamu bondia kipenzi cha GENTAMYCINE Antony Joshua. Kwa wale ambao 'mnabeti' tayari nimeshapewa matokeo na 'mtaalam' wangu kutumia nujumu / tabiri zake ambapo 'Kibonge' anapigwa kwa 'KO' moja hatari sana raundi ya 2 au ya 3 tu. Kifupi leo Bondia Antony Joshua anaenda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimwengu wa leo inafaa mtu masikini kuwa kiongozi?

    Binafsi sipendelei mtu aliyeshindwa kujipambanua mwenyewe katika uchumi wake kuwa kiongozi wa watu japo anaweza kuwa na sifa kadhaa kama uadilifu nk. Lakini kiongozi anatakiwa kuwaongoza watu kutoka hali duni kwenda hali nafuu au ikiwezekana kuwa matajiri hapa inabidi yeye mwenyewe awe...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kupita kwa kishindo Unguja na Pemba ni ajabu la saba la dunia

    Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Dodoma, Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri James ameeleza kumshangaa Mshauri mkuu wa chama cha ACT-Wazarendo Maalim Seif Sharif kutoka na maoni yake kuwa chama chake kinakubalika visiwani Zanzibar. Bw. Kheri amesema...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

    Tanzania imeondoa Art 34(6) kwenye sheria zake inayoruhusu mwananchi mmoja mmoja na NGO's kuishitaki kwenye mahakama ya Afrika. Je huu ni uoga au imeona inafanya makosa mengi. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ilianza rasmi shughuli zake huko Addis Ababa, Ethiopia mnamo Novemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…