Kwanini mtu hachukizwi na uchafu wake?

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,865
5,683
Utakuta mtu anajitolea hewa chafu ndani mwake tena mara nyingi tu na hata hachukizwi na harufu yake lakini kosa afanye mtu mwingine atachukia kweli.

Utakuta mtu anajichezea tu kikwapa chake na kunusa kabisa. Kosa asikie kiharufu cha kwapa ya mwenzie.

Utakuta mtu uchi (ashakum si matusi) wake unatoa kiharufu fulani hivi (wanaume p*mbu na wanawake papuchi), kamwe hata hachukii. Kosa usikie ya mwenzie.

Kuna mifano mingi mingi mno, hiyo ni michache tu. Swali ni hili, kuna sababu gani ya kibaolojia inayosababisha mtu asichukizwe na chake?
 
Back
Top Bottom