Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.
Hiyo ni kwa mujibu wa...
My people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka kuitumia katika namna ile ile tusitarajie matokeo tofauti,tena kibaya zaidi watesi wetu wanajua...
Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina?
Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe...
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka...
Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako.
Na kwa nini ili jambo limeanza leo
Katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, suala la Rais ambaye ana tatizo la akili linagusiwa chini ya Ibara ya 43. Ibara hii inashughulikia kuhusu uteuzi wa Rais, madaraka yake, na pia inasema jinsi ambavyo endapo Rais atakuwa na hali ya kutoweza kutekeleza majukumu yake kwa sababu ya...
Mtangazaji wa CNN na mwandishi wa makala kuhusu matukio ya Oktoba 29 yaliyotokea Tanzania amesema kuwa hajalipwa na mtu yeyote kwa lengo la kuichafua nchi yoyote. Ameeleza kuwa badala ya hoja na ushahidi uliomo kwenye makala kujibiwa au kukanushwa, amekuwa akishambuliwa binafsi.
Aidha, ameweka...
Siasa ndo ina-control kila kitu wakuu, Tazama sasa siasa ya Tanzania ilivyo inatuchezea akili huku ikituacha na mateso yaleyale kila kila wakati.
Mwananchi unateswa miaka minne alafu ule mwaka wa tano unalegezewa kidogo na kuchanganywa akili kwa vitu vya kijinga unasahau mateso alafu baada ya...
Nimefika leo asubuhi mji wa madini Shinyanga nikataka supu tu wala si chochote wanakwambia supu bila chapati hawauzi.
Ina maana hata ukitaka wali dagaa watakwambia dagaa ni wa ugali tu
Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha
kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
Orodha kamili ya taaluma za afya na aina ya biashara mtu anazoweza kumiliki/kujiajiri bila mtaji mkubwa—mfumo wa “Skill → Business” (Taaluma - Biashara).
📌 ORODHA YA TAALUMA ZA AFYA NA BIASHARA ZAKE ZA KUJIAJIRI
1. Pharmacist (Mfamasia)
Huyu ni mtu aliyesomea kuhusu Dawa za magonjwa ya...
Kila nikizingalia hizi picha za mauaji na majeruhi roho inakufa ganzi. Huyu mtu ni katiri sana, hafai kabisa. Picha zinaumiza mno.
Halafu anakuambia hajali chochote, nguvu iliyotumika ni sahihi, seriously? Huyu ni mtu au shetani?
Watanzania tusimsamehe huyu mtu pamoja na wote wanaomtetea...
Kuna wanafunzi wawili wote wamesoma chekechea hadi form 6 Tz.
Moja kabaki Tanzania mwengine kaenda Uingereza, wote wanasomea degree ya usimamizi wa biashara
Kwao wana hali za kawaida, aliebaki anasoma kwa mkopo wa serikali, wa nje kapata mdhamini.
kutakuwa na utofauti wakishamaliza vyuo...
Mtu yeyote anayedhoofisha Uchumi wa nchi ni Mpumbavu, hii ni kwasababu matendo hayo yanaongeza idadi ya maskini
Mataifa yote duniani huwa yanapambana kuongeza idadi ya matajiri ili kiwango cha umasikini kishuke ikiwezekana kuondoka
Taifa lolote duniani linakua haraka endapo idadi ya maskini ni...
Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano.
Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano.
Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
Tunaishi katika dunia iliyojaa unafiki na kila aina ya mabaya, yaani kweli hawa wanaojiita wazee hawajui kama uchaguzi haukuwa wa uhuru na haki?
Hawajui kama kila siku watu wanapotea na kutekwa lakini serikali haichukui hatua yoyote?
Hawajui kama watu waliuwawa siku ya maandamano?
Kama...
Kwa kweli sitaongea mengi kuhusu jambo hili, ila itoshe kusema kuwa Dr. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwenye bahati sana katika maisha yake na historia yake inaonesha nafasi nyingi kubwa za kiuongozi zimekuwa zikimfuata zenyewe bila yeye kufanya jitihada kubwa. Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.