mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa siitaki kwasababu kila harusi utasikia "ndoa ni uvumilivu"

    Maisha haya ni mafupi sana. Huna haja ya kujinyima raha ya nafsi yako hata kwa dakika moja. Pwani kuna msemo kuwa "raha jipe mwenyewe". Kuna watu wanadhani wakiingia kwenye hiyo jela iitwayo ndoa watapata raha, wanaishia kupata karaha lkn wanaambiwa wavulilie. Yaani waugulievndani kwa ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana kama unakesha usiku kucha kusoma ufaulu; kama ajira huna unatakiwa kukesha pia usiku kucha kuwaza ufanye nini upate pesa

    Vijana wengi hukesha hata usiku kucha kusoma ili wafaulu mtongani Akishamaliza vyuo na kupata vyeti hushinda tu akilalamika ajira hamna huku akikesha kuchat na simu kuhangaika kuangalia movie na ujinga mwingine wa mitandaoni. Hakeshi kuwaza na ku-brain storm afanye nini ili apate pesa. Vijana...
  3. JamiiForums Tanzania Big tech under the thumb: Kumkata Trump ulimi ni kielezo tosha juu ya hofu ya anachotaka kusema

    Wengi tumepigwa butwaa baada ya mitandao ya kijamii kama twitter na youtube kumfungia Raisi Donald Trump account zake huku wakati huo huo account za ma dictator zikiwa bado zinapumua bila bugudha yoyote. Hali hii imeleta tafsiri ya wazi kwamba mitandao hii ya kijamii ina nguvu kuliko taasisi...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyeingia nchini kinyume cha utaratibu (bila vibali) anaweza pata haki ya kudhaminiwa?

    Wadau naomba kujua ni utalatibu gani wa ki haki na kisheria unaoweza kutumika ili uweze kumsaidia mtu aliedakwa kwa kuingia nchini bila kibali Ahsante
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mtu kama ni mkimbizi anaruhusiwa kuendelea kujihusisha na masuala ya nchi yake?

    Nauliza tu maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na masuala ya nchi yetu. Sheria inayohusu masuala ya wakimbizi inasemaje?
  6. JamiiForums Tanzania Niliwahi ku-date na mwanaJF, ilikuwa hivi, wewe je?

    Mkasa huu nawaletea ulitokea kipindi cha mwaka 2013 nikiwa nasoma chuoni Arusha (IAA – Institute of accountancy Arusha) , nilikuwa na miaka 22 Miaka hiyo nilikuwa natumia ID nyingine humu JF, JF enzi hizo tulikuwa wachache sana humu jamiiforums maana smatphones zilikuwa bei sana, bando...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Wasafiri watapimwa covid19 kwa dola 100

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa muongozo mpya wa upimaji kwa wanaosafiri kwenda nje ya nchi kutokana na kuongezeka kwa idadi ya wanaoambukizwa #COVID19 na kuwepo kwa vimelea vipya kwa baadhi ya nchi Wizara imetangaza kupanda kwa gharama za upimaji wakisema kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ila JK ni mtu mmoja mjanja sana

    Leo nimeamini kua JK ni mjanja sana,. Check response yake kwenye maswali aliyoulizwa na Salama Jabir. Salama: Kwanini watu wanakupenda sana. JK: Waulize haohao wanaonipenda mimi sijui bwana Salama: Lakini unajua kuwa tunakupenda JK: (Pause kidogo)... Najua kuwa hamnichukii Ila JK wewe sawa tu...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna aliyepangilia mambo haya, hayakufanyika kwa bahati nasibu

    Hebu fikiria unaokota saa jangwani ungehitimisha kwa kufikiri nini? Je, ungedhani kuwa mtu amedondosha saa hio? Au ungedhani kuwa saa hiyo ilikuja yenyewe? Kwa kweli hakuna mtu mwenye akili timamu atakayesema kuwa saa hiyo ilitokea tu katika mchanga. Saa hio lazima iwe na mtengenezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Je, ulishawahi kushuka na begi/mzigo wa abiria mwenzio kwa bahati mbaya? Mtu aliyeshuka na box langu la samaki mwaka 2012 sasa ni family friend. Kuna kamsemo kamoja huwa kanatamba sana huku mitaani...
  11. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyewadanganya watu wengi kuwa kugeuza simu wakati wanapoongea na mtu ni jambo bora zaidi?

    Kuna mambo mengi ambayo tunayaona mitaani mpaka wengine tunashangaa. Mtu anapigiwa simu anatazama jina anapokea kisha huigeuza na kuanza mazungumzo. Watu wanajifanya kujua kuliko aliyetengeneza simu. Huu ujuaji ungeambatana na uvumbuzi wa simu mpya ingependeza zaidi. Mtu hata kuunda batteries...
  12. JamiiForums Tanzania AG Kilangi kama mtu alichapa watu bakora kwa kuchukua sheria mkononi, yeye apate adhabu kwa mujibu wa sheria

    Kama kuna kipindi ambacho taifa la watanzania limeshudia mambo ya ajabu basi ni hiki kipingi cha awamu ya tano Kumekuwa na utendaji kazi ambao umeshangaza sana watu.Wasimamizi wa sheria wamegeuka kuwa kama wild animals. Ila tunashukuru sababu watanzania nao sio wajinga,ukizingua wanakuchana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa OCD wa Wilaya ya Hai: Je, matukio yatakuwa yameisha au bado kuna mtu mwingine wa kuhamishwa?

    OCD wa Wilaya ya Hai alihamishiwa Kilosa mwezi wa 12, huyu alikuwa sehemu ya Wilaya ya Hai kutokuwa tulivu kisiasa wakishirikiana na DC sasa amehamishwa ila pamoja na kupewa barua ya uhamishwa alikuwa bado ana panchi ili asihame tukahisi kuna maslahi mapana sana ila hatimaye amehama. Je...
  14. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umewahi kumpa mtu ukaleta matokeo ya faida au matatizo makubwa?

    Wakuu mambo vipi Katika harakati za hapa na pale maisha unaweza kuchangia matokeo fulani kwa watu tunaoshirikiana nao. Rafiki yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu kuoa (ingawa mwenyewe sijaoa ila nikatoa kama kocha hachezi ila ni mwalimu) nikampa ushauri huyo mwanamke yupo poa kabisa wewe komaa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Mtu kufanya wizi kwa Account ya mtu, kwa kupitia Account namba tu?

    Wakuu kuna hili swali nimekua nikijiuliza, ika nikaona ni bora nipate na mawazo ya wadau kutoka humu kwa katika jukwaa hili la Great Thinker. Hivi inawezekana mtu kufanya uhalifu(wizi) kwa kupata Account/Akaunti namba ya mteja wa Benki fulani? Sijui nimeeleweka wakuu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii siyo dalili pekee ya Mtu aliyekuwa Tajiri, Matanuzi ya kila aina na Jeuri ya Kimafanikio kuanza Kufilisika?

    Jacqueline Wolper atangaza kutaja mastaa 10 anaowadai. Taarifa: EastAfricaTV
  17. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa/kuolewa na mtu asiye wa kabila lako?

    Habari za mchana, Ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa nikijiuliza sana kuhusiana na swala hili la kuoa mtu wa kabila tofauti, Na nimeshindwa kufikia muafaka, nawasilisha kwenu nanyi mnisaidie mawazo. Natanguliza shukrani, mchana mwema.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nabii wa Ishara Tanzania: CCM wataomboleza, Zanzibar kuna mgogoro na kifo cha mtu mkubwa 2021

    Tizama mwenywe dakika ya 32 - 37 na 47- 49:30 ama kama unaweza tazama yote. Katabiri mengi yatakayojiri 2021, lkn mm nimechukua ya kisiasa tu. 1. Wakuu wa mihimili 3 mmojawapo atapata shida kubwa ya kiafya na kupelekea ku-rest in peace. 2. Mmojawapo wa viongozi wakubwa wa ccm ataingia kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka mtu wa kufanya "drip irrigation" kwa ajili ya Kilimo cha Mapapai

    Wakuu nina shamba langu liko chanika sasa nimeplan kulima Kilimo cha Mapapai. Naomba msaada wa kupata mtaalamu wa Wa kufanya drip irrigation. Kuanzia mambo ya setup mpaka mambo ya ushauri na kila kitu. Ukubwa wa shamba ni kama hekari 3 but kilimo cha papai nitafanya kwa hekari moja tu. Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Wajuzi naomba msaada. Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa. Msaada
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…