Tupo wanne tumetokea kuelewana na kuwa marafiki wakubwa. Rafiki yetu mmoja amefanikiwa kujenga nyumba nzuri tu ya ghorofa, anaishi na mume wake na mabinti zao wawili.
Weekend moja alitulika katika sherehe ya mtoto, hatukua wengi sana, kwakua sherehe ilikua ni ya watoto, yeye na mume wake...