mtu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukimsikia Mtanzania anasema wakosoaji wapotezwe au wakaozee jela unajisikiaje mtu wa Mungu?

    Nchi Ina sheria kwa wanaozivunja wanatakiwa kufikishwa mahakamani lakini tumezoea viongozi wakitaifa wakisema wakosoaji wakaozee jela au wapotezwe, Hawa watu unapowasikia unawachukuliaje? Mfano sheria ya mtu aliyekosoa au kutukana Ina kifungo cha mwaka mmoja then ukamsikia mwanasiasa anaviambia...
  2. JamiiForums Tanzania Mkopo alioutoa Madaraka Nyerere wamuhamisha mtu nchi

    WATANI ZANGU Mwaka 2020 nilijitokeza kuweka nia kugombea ubunge kwenye jimbo la uchaguzi la Butiama kupitia Chama cha Mapinduzi. Sikufanikiwa: niliambulia kura mbili za wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya. Wakati wa mchakato, mtani wangu mmoja aliniomba nimkopeshe Sh.50,000. Nilimwambia...
  3. JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana, kuna mtu ameomba kazi ya trainee akiwa na miaka 35

    Boss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita. Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels...
  4. JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano na mtu asiyejua anataka nini

    Za jumapili? Mfano unaenda sehemu na mtu ya kunywa, hajui hata anataka nini anasema nipe tu soda yoyote. Yaani yeye hajui hata anataka nini. Kwenye chakula hivo hivo, hawezi kuagiza anachotaka anaanza kuuliza "kuna chakula gani na gani?. Hawezi kusema nataka chakula hiki au hiki. Kama hamna...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  6. JamiiForums Tanzania Ombea udharauliwe na mtu wa kabila lingine lolote lakini usidharauliwe na Mnyakyusa

    Wanyakyusa kama hakupendi, atakwambia machoni pako kwamba sikupendi nakuchukia. Wanajiamini sana Akiamua kukudharau, utajuta kuzaliwa
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana kwa kutumia waganga wa jadi?

    Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi. Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi? Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakayekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania

    Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva either kwenye kampuni au mtu binafsi

    Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
  10. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anatunzwa na Serikali maisha yake yote halafu bado anataka kula kwa urefu wa kamba yake

    Serikali imeweka mafao makubwa serikalini, bungeni na mahakamani kwa viongozi wakubwa inakuwaje pamoja na kuwa wana uhakika wa kupaa mapato makubwa sasa na maisha yao yote bado wanakuwa vibaka wa kula kwa urefu wa kamba zao? Mwenyezi Mungu atusaidie kwenye hili wanataka nini hasa?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania nani anaturoga? Kama hamtaki kila mtu ale urefu wa kamba yake, mnataka wale bila kamba?

    Majuzi wakati Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kikao baina yake na Mawaziri na Manaibu wa Serikali ya awamu ya Sita aliowateua siku chache zilizopita, Katika hotuba yake miongoni mwakauli zilizozua utata katika kikao kile ni pale Rais Samia Suluhu Hassan alipowaambia viongozi hao kuwa, "...
  12. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye kesi fulani ipo mbele yake

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama" Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
  13. JamiiForums Tanzania Bigsize Phobia: Hofu ya wanaume wenye maumbile madogo kuwaogopa wanaume wenye size kubwa, ushahidi umeambatanishwa

    Kiukweli aina hii ya kilema inewafanya wanaume wengi sana kutokua na amani hata wawe matajiri, wanavaa fresh, wacheshi, n.k. yani hakuna kitu wanaogopa kama kushare mwanamke na mtu mwenye umbile kubwa. Ugonjwa huu naweza kuuita bigsize phobia, mwanaume mwenye umbile dogo anaogopa mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Dereva wa Uber na Bolt natafuta gari la mkataba

    Kwa jina Naitwa Ernest ni dereva Uber na Bolt mwenye uzoefu katika kazii hii nina leseni yenye madaraja yote nilikuwa natafutaa Gari ya kazi iwe yenye private namba Au commercial kwa ajili ya kazi ' Kwa mawasailiano zaidi Ernest : +255628729873 Naomba ushirikiano wenu
  15. JamiiForums Tanzania NASA wanatafuta mtu wa kumlipa ili aishi mazingira ya sayari ya Mars yaliyojengwa Marekani

    Habari wadau Kama umri kuanzia Miaka 30-55 fursa hii hapa mkwanja mrefu utatolewa, wale wazee wa kujilipua kazi kwenu. ===== The space agency is looking for paid volunteers to spend a year living in Mars Dune Alpha, a Martian habitat based in Johnson Space Centre in Houston, Texas. The...
  16. JamiiForums Tanzania Division 3 au 4 za Zanzibar zina dili kuliko division one kali za bara

    Zanzibar Walishapewa incentives nzuri kwenye muungano na katiba ya Tanzania. Akili za necta wamewaachia wapenda ma vyeti wa bara. Leo hii bara kuna watu kibao waliopata Division 1 ila hawana ajira. Kwa upande wa Zanzibar mambo ni bam bam!! Wao wapo wachache sana lakini ajira asilimia 21 za...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi nchini Nigeria wawakamata watu 4 kwa ''kula nyama ya watu''

    Polisi katika jimbo la Zamfara Kaskazini-Magharibi mwa Nigeria wanasema wamewakamata watu wanne wanaodaiwa kuhusika na ulaji nyama za watu na kuuza sehemu za binadamu- jambo ambalo ni nadra sana katika eneo hilo. Kamishna wa polisi katika jimbo hilo Ayuba Elkanah aliwaambia waandishi wa habari...
  18. JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

    Tukubali tukatae, ukiona mtu ana tattoo yoyote ujue ni matokeo ya malezi mabaya. Tattoo ni ishara ya mtu kutokujijali, kutojali afya wala thamani ya mwili wake na pia kutokutumia akili sawasawa. Ndio maana China kwa ajili ya kulinda kizazi cha sasa na kizazi cha baadae imepiga marufuku...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli ya kuwaruhusu Mawaziri wajipimie, wasivimbiwe itolee ufafanuzi tena

    Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo. 1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia mawaziri wajipimie ni za wananchi wanao msikiliza na kwamba wananchi wanataka alinde mali zetu kama kiapo...
  20. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…