Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake

2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi wengi wana asili ya kuamua kila kitu wanachoamini ni kizuri kwaajili ya Watoto wao

3. Washirikishe Watoto kwenye uwekaji wa Sheria/Miongozo itakayowasaidia wawe na tabia njema. Mtoto wako anapohusika na kuwajibika kwenye uwekaji wa sheria zilizo katika familia, atakuwa na uwezekano mkubwa wa kuzifuata.
 
NINGEKUWA SIJATIMIZA WANNE NINGE TEST ZARI , NIONE UNAYONENA PRACTICALLY
 
Back
Top Bottom