Mwili wa Mtu waokotwa kwenye kiroba

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,773
21,270
Kuna Mtanzania mmoja aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje mara akapewa jina la kachero mbobezi by now yupo chali kisiasa, aliwahi kuja na kauli ya uchawa akisema "... katika utawala huu hutosikia Mtu ametekwa wala kuokotwa kwenye kiroba"

Huko Dodoma; mwili wa mtu uliokotwa ukiwa katika kiroba eneo la jirani na Shule ya Sekondari Jamhuri jijini Dodoma bado haujatambuliwa.


Mwili huo ambao ni wa mwanaume na umekutwa ukiwa umeanza kuharibika bado upo katika chumba cha kuhifadhia maiti ikatika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.

IMG_20221208_145820.jpg
 
Back
Top Bottom