Kuna wakati utawasikia baadhi ya Wasanii wa Bongo fleva wakifikia hatua ya kuwashutumu wale waliojitokeza na kukaa katikati yao na soko.
Wanachosahau Wasanii wengi ni kuwa kuwa na kipaji ni jambo moja na biashara ni jambo lingine.
Ili kipaji kiwe biashara lazima kuwe na Mfanya biashara. Uwezo...
Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.
Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
Kuna kiongozi alisema tukimkuna atatupapasa!! nilitaka nimkumbushe tu kwamba na sisi wananchi tunahitaji kupapaswa na viongozi wetu Ili na sisi tuwakune!
Naona ikitokea teuzi mnapapasana wenyewe ! Ila likija swala la maendeleo, Kodi na tozo mnataka tuwakune!! Iiii Bha ghosha!
TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA.
Leo 12:15hrs 10/09/2022
Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
Mchimbaji wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Erick Peter (39) amefikishwa kwenye mahakama ya hakimu mkazi Simanjiro na kusomewa shitaka la kumpa mimba mwanafunzi wa shule ya sekondari Tanzanite.
Peter amesomewa shitaka hilo na mwendesha mashitaka...
Septemba Mosi, mji wa Moscow ulipata mshituko baada ya magari yenye rangi ya njano(Cabs) kufurika city centre baada tax zote kupata call kutoka kwa mtu mmoja kupitia app ya Rusian Andex, ambaye, hata hivyo hakuwa na taarifa.
Hali hiyo ilileta taharuki hasa kutokana na kuleta msongamano...
Mtu huwa makini afanyapo jambo kwa juhudi na uangalifu wa hali ya juu. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii anaonekana na umakini katika kusoma kwake, mfanyabiashara anayejituma kwenye biashara yake tunamwita mfanyabiashara "Makini".
Mtu makini huwa na malengo anayotaka kuyafikia, na hufanya juhudi...
Jana niliwasikiliza mawaziri wakiitetea serikali ambaye ni mwajiri wao katika hili suala zima la tozo zinazotesa wananchi.
Sikutegemea kipya kusema ukweli kutoka kwa Dr Mwigulu Nchemba zaidi ya kujenga hoja nyingi za aina ya maisha aliyokulia, anajiweka mbali na dhana ya utajiri unaosemekana...
Mwambieni waziri wa fedha pamoja na TCRA kwamba internet ni biashara sio anasa kama wao wanavyoweza kudhani vijana wengi wamejiajiri kwenye biashara nyingi za mitandaoni zinazotegemea zaidi internet na bando.
Wapo YouTube, wapo Instagram, wapo kila mahali wanajiingizia kipato na kodi wanalipa...
Kutoka kurasa za BBC Swahili.
https://www.bbc.com/swahili/articles/c90np9xz0z2o
Mmarekani John Francis alifanya uamuzi wa kubadilisha maisha akiwa kijana mwenye msimamo: aliamua kuacha kuzungumza.
Alikuwa kimya hajazungumza kwa miaka 17 kabla ya kugundua kwamba alikuwa na jambo ambalo...
Andrew Tate ni kati ya watu wanatajwa sana kwa hivi sasa, bila shaka. Ikiwa hii ni mara yako ya kwanza kusikia kuhusu jamaa huyo, fuatilia hapa.
Mtumiaji huyu wa mitandao ya kijamii aliye na kipawa kikubwa cha ufasaha, Mmarekani mwenye asili ya Uingereza mwenye umri wa miaka 35 ambaye anaishi...
Nawasalimu kwa JMT,
Mnyonge hanyongwi na haki anapewa.
Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi.
Ni nadra sana hapa...
Mwandishi Efrahim Mabena
mawasilino:0745323576
mahali: Makambako_Njombe
Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba.
Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
Sekta ya nishati ni vigumu mno kunyooka ikiendelea kuongozwa na mtu laini na legelege mfano wa January Makamba.
Ukweli usemwe tu Rais Samia alizingirwa na maharamia yaliyomshawishi ampe huyo bwana mdogo wizara ya nishati ili aende kulinda maslahi yao.
Sekta ya nishati ni muhimu kuongozwa na...
Sababu baada ya kumaliza chuo nimekosa ajira baada ya ku-apply sana Kazi sijaambulia kupata, sanasana naishiaga kwenye interview. Nimekaa mtaani mda mrefu, hivyo najishughulisha na temporary informal jobs ndogo ndogo.
Mtaani baadhi ya watu wanajua mimi ni mwanachuo, sasa sometimes utakuta mtu...
Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo.
Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry.
Nimeona sana toll gates...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.