mtu

  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana natamani mtu anipe muongozo wa maisha kwa kifupi ili nifanikiwe..ntamshukuru sana.

    Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kwa kurejelea Biblia na Quran Tukufu, inawezekana kwa shetani kupitia uganga na uchawi kumpa mtu ugonjwa na akaugua hata kufa?

    Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu. Katika vitabu...
  3. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Mtu Wako Wa Karibu Anaweza Kukuuza Kwa Bei Yeyote Kwa Adui Zako

    Mathayo 26:14-15 TKU [14] Ndipo Yuda Iskariote, mmoja wa wanafunzi kumi na wawili wa Yesu alikwenda kuzungumza na wakuu wa makuhani. [15] Akasema, “Nikimkabidhi Yesu kwenu, mtanilipa nini?” Makuhani walimpa sarafu thelathini za fedha. Yuda alikuwa mtu wa karibu sana na Yesu, haikutegemewa kama...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoka kwenye chama chenye heshima kubwa na kuelekea kwenye chama cha kiharakati?

    Jambo lililonishangaza sana kwa siku ya leo ni hili. NCCR-MAGEUZI is a respected party,kinaheshimika sana.
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ibara 14 ya katiba inampa kila mtu kuishi iweje watu wachache ndani ya nchi wanaivunja katiba...

    Nashangaa taifa lililosheheni taasisi nyingi za kuilinda katiba lakini wanaibuka watu ,kikundi cha watu wanaivunja hiyo katiba na taasisi zipo za kuitetea katiba . Kama katiba imeshindwa kumlinda raia kuna haja kuwa na katiba . Katiba yetu imechakaa kama shati lililopauka lenye virakaviraka...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo one can say with certainty ni akina nani walimkata mtu kichwa

    Kwahiyo kwa leo kwa hili la Jumbe confirmed watekaji wamejulikana. Chapter closed. Twende tukalime
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kumbukeni ukoloni wa wajomba na history wa kulipiza kuna mtu mmoja analipeleka taifa sababu ni ujombani

    Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha. kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18 nimetoa mada siku ya alhamisi. Utabiri afrika inaweza kuwa sehemu zilizo saidia na ndizo zitakuwa...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania A to Z majibizano kati ya Hilda Newton na Buyobe: Ni kweli Buyobe ni mtu wa mfumo?

    Alichoandika Hilda Newton: Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo...
  9. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Ni kweli serikali haigharamii chochote mtu maarufu kama Fernandez akija nchini?

    Kwanza kabisa mimi sioni umuhimu wa mstaafu wa soka kuja nchini kwetu nakumpaisha hivyo halafu kwenye account zake haoneshi yupo Tanzania licha ya kupewa air time za kutosha. Pia nimesikia hawa watu wakija serikali ni protocol tu lakini gharama haitoi serikali sijajua anatoa nani? Mtu mweyewe...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Mtu kuhama taasisi?

    Wakuu kuna mtu kaniuliza sina majibu kamili.et Mtumishi anaweza kuhama taasisi kwenda nyingine?mfano kutoka TPA kwenda TRA lkn career moja na position zinafanana
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni eneo gani la kazi kwa maoni yako linaongoza kwa kuona warembo/watu wapya kila siku mpaka mtu anaingia kazini na furaha ya ajabu?

    Kuna baadhi ya maeneo ya kazi ukiajiriwa tu unaanza kuamini dunia bado ina furaha. Sio kwa mshahara kwanza… bali mazingira yenyewe yanakuwa kama series isiyoisha kuhusu “uhamiaji wa viumbe wazuri” Mfano maeneo ya vyuo vikuu… aisee huku ni kama Serengeti migration. Kila mwaka linaingia...
  12. Joseph midimu

    JamiiForums Tanzania AJIRA

    Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.? Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
  13. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Snitch ndiye mtu hatari zaidi🙌

    Wahenga wanasema ni bora kuishi na mchawi kuliko mnafiki usiyemjua Hivi umewahi kuishi na snitch na unajua kabisa ana kunafikia? Then ukawa una mchora tu na unafiki wake anavyojimaliza? Mara zote mnafiki ni mtu wako wa karibu sana, pengine unayemuamini zaidi na ku mkubari sana Mtu hawezi...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu au Tanzania watu wengi wanaona kumuuliza mtu “unaitwa nani?” siku ya kwanza ni kama umemtongoza?

    Unaweza kukutana na mtu mkasalimiana, mkapiga story dakika 20, mkacheka kabisa… lakini hakuna anayesema jina lake. Mpaka mnaombana namba ndipo mchezo unaanza: “Ni-save nani?” Kuna ile culture ya kuzunguka sana kabla ya kuingia kwenye personal details. Watu wanaogopa kuonekana too direct au...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Toa piece of life advice /ushauri wa kimaisha ambao ni constructive kwa mtu yoyote yule.

  16. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Wachina wanajua kufariji mtu mwenye Depression bwana...

  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Rais angesema kila mtu arudishiwe kodi yake aliyolipa nina uhakika ambao wangerudishiwa ni wachache

    Huyu Chalamila hajui hata namna kodi zinavyokusanywa yeye anadhani kodi ni ile inayolipwa direct tu, debe tupu --- Chalamila amesema kuwa wanaosema miradi inajengwa kwa kodi zetu watambue kuwa kodi peke yake haiwezi kujenga ila inahitaji akili ya Rais katika kutafuta funds na anadai aliwahi...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mganga gani anaweza Baki na Maini na Kichwa cha mtu siku zote hizo Huku akijua wenzake Wamekamatwa ? Hakuogopa kutajwa? Kukimbia ? Kuvifukia?

    Kuna Movie inachezwa na "Mfumo" kuhakikisha wananipa Nguvu Ripoti Uchwara ya CHANDE !!. Watanzania Shtukeni !!.
Back
Top Bottom