mtu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Matokeo yakitoka ndio kila mtu anajifanyaja Ni fundi kujadili issues za elimu

    Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na heshima na fani ya ualimu,garbage input gargabe out put,walimu huwa wanalaumiwa sana kwenye output...
  2. JamiiForums Tanzania Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa hata dakika ya 15 tu ya Mchezo walikuwa ni Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho. Ni mpaka uujue...
  3. JamiiForums Tanzania Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja. ๐—Ÿ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ? Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
  4. JamiiForums Tanzania Amri ya kutotamani mke wa mtu au mwanamke inapotoshwa sana na jamii

    Hey
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hasira ukaa moyoni Mwa mtu mpumbavu.

    MHUBIRI 7 Ukweli wa maisha 1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa. 2 Heri kuiendea nyumba ya matanga, Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake. 3 Huzuni ni afadhali kuliko...
  6. JamiiForums Tanzania Kuhusu hili la kutoa sadaka makanisani ni vyema kila mtu akaachwa ashinde mechi zake

    Habari za mchana huu wadau. Natumain mko salama na mnaendelea kulijenga taifa letu Tanzania kwa moyo mmoja. Niiingie kwenye Mada. Huu ni ushuhuda wangu binafsi kuhusu jambo ambao wana JF wengi humu hulitolea mapovu sana..KUTOA SADAKA YA ZAKA Declaration of interest ni kwamba, binafsi nimekua...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

    Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa ๐Ÿ˜ƒ tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukizaa na mume wa mtu, jukumu la kulea mtoto ni lako mwenyewe!

    UKIZAA NA MUME WA MTU, JUKUMU LA KULEA MTOTO NI LAKO MWENYEWE! Anaandika, Robert Heriel Unajizima Data sio! Ati ooh! Alinidanganya Hana MKE, ooh! Sikujua kama kaoa. Wanaume ni Umbwa Koko! Kama alikuambia Hana MKE si ungemuambia Ukoe wewe sasa ili uwe Mke wake. Mwambie apeleke posa nyumbani...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni Nini kinasababisha mtu awe kama anapigwa shoti

    Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu ameshawai kusikia kelele za panya anatembea juu ya gypsum board?

    Habari wadau, Kuna hoja nimeisikia kwamba panya yeyote hawezi kutembea wala kukimbia juu ya gypsum board. Anateleza. Je, mtoa hoja anasema ukweli ama anadangaya? Kwa watu mnaoishi kwenye mazingira yenye gypsum board Je, mmewahi kusikia panya juu ya hizo board anakimbia ama anatembea kama...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni Sahihi Kumjua mtu kupitia mtu?

    Jana nikiwa nimejipumzisha zangu nikajisikia kusikiliza Redio kidogo basi mara nyingi ikitokea Nataka kusikiliza matangazo ya Redio basi Tbc Taifa ndio sehemu muafaka kwangu Kule huwa napata kitu roho inapenda,maana hizi Redio za niaje niaje mtu wangu na collection ya miziki Yao ya kamata kiuno...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kumwelewa Mbowe au CHADEMA si kwa kila mtu

    Wamesikika chawa wa Mama wakijinasibu na tafsiri zao kuhusiana na alichosema Mbowe Mwanza. Kwamba Mbowe kalazimika kusema kushughulika na CCM ni kama hivi: Na bado chawa wa Mama wanakenua? Wanaelewa uzito wa kauli kama hii ukizingatia Mbowe ni mtu mzima mwenye familia yake? Si kuwa kauli...
  13. JamiiForums Tanzania Swali la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye vidonda vya tumbo

    Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu. Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone. Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting. Je ndugu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujiamulie hatma ya taifa letu wenyewe tusitegemee mtu

    Kwa namna mwenendo wa siasa na vyama vya siasa vilivyo ni dhahiri viongozi wanahangaikia zaidi vyakwao kuliko maslahi mapana ya wananchi kwa ujumla. Hili lina sababu 2; moja ni kwasababu Watanzania tumeonyesha kuwategemea wao zaidi kuliko nguvu Umma; mbili ni wao viongozi wenyewe kujua kwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  16. JamiiForums Tanzania Nauliza tu, huko Kusini mmeishiwa majina, kila mtu anaitwa Sanga tu, and ndio masharti ya utajiri?

    Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au? Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa ...
  17. JamiiForums Tanzania KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Kanisa ka Kiinjili, la Kilutheri Tanzania, KKKT ina historia , na ni taasisi ya muda mrefu. Ina taratibu na kanuni zake , mchungaji au mtumishi atafanya mbwembwe zake zoote lakini lazima awe ndani ya utaratibu wa Kanisa. Mtumishi akiwa na Karama au upako lazima aongozwe na hekima, na siyo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeaminika kuwa na umri mkubwa zaidi duniani afariki Ufaransa

    Mtawa kutoka Ufaransa anayeaminika kuwa mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ameaga dunia wiki chache kabla ya kusherehekea miaka 119 tangu kuzaliwa, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na msemaji wa kituo cha afya Jumatano kusini mwa Ufaransa Lucile Randon ambaye pia anajulikana kama sister...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu akiwa Danga Ina maana anaitia nuksi familia yake na watoto

    Nisogee Moja Kwa moja kwa. Mada ya mke wa mtu anajua ana mume na watoto baba hatoi mahitaji mke anapata ks Danga inamaana pesa wanatokula Ina kisilani.
  20. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, mna haki ya kumuona Lissu kama shujaa wenu, ila si kulazimisha kila mtu amuone ni shujaa

    Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana! Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa! Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ