Swali la kujiuliza kwa mtu yeyote mwenye vidonda vya tumbo

Uhakika Bro

JF-Expert Member
Mar 29, 2022
2,303
2,945
Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu.

Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone.

Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting.

Je ndugu zangu mnaosumbuliwa na vidonda vya tumbo mko na mentality ya kupumzika? Au unaamini kupumzika ni hadi tukidanja tu.... Je

Au kwani je ukiugua vidonda vya kawaida navyo vinachelewa kupona?

Ni swali tu la kujiuliza siwasemi kwa ubaya kuna vitu nnajifunza, kuna utafiti unakusanya data.

Nnapoongelea kupumzika nna maana mfano 1. ukitoka kazini je unaiacha kazi kazini kweli? Au unabaki na mafaili ya hivi bosi akigundua sijafanya hiki, au nimefanya kile itakuwaje. Mwili unapumzika, kichwa kipo resi kwahiyo nao haupumziki kikamilifu.

Au mfano 2. Walio kwenye mahusiano mnapolala pamoja unarelaax kabisa kwamba hakuna kitu unachakata kufichaficha. Mwili unarelaax kabisa.

Au 3. Maisha na dunia unayaonaje/unaionaje kama sehemu yenye utulivu na amani (Rastaman) au umejaa mapepo na vita visivyokwisha nao (Baadhi ya walokole).

Au mfano 3. Utafutaji hela je ni vita ya kuviziana kwa mabavu zaidi? Au ni fair playground ambapo kila mmoja anatoa na kupokea chake kwa akili zaidi na ustaarabu?

Nadharia ni kwamba wote tunapataga madonda ya tumbo ya hapa na pale, ila wengine wanapona haraka wengine yanajilimbikiza kutokana na kutopata muda wa kupumzika, kulingana na hali ya kuishi au kujiokoa🤔

Karibuni.
 
Uko sahihi sana, wengi tunaishi maisha ya stress sana.
 
Kaka Hujaugua Huo Ugonjwa.

Omba yasikupate.

Mimi NILIGOMBEZWA MUHIMBILI KWA MADONDA YALIVYONISHAMBULIA TUMBO HADI NDOO NILIKUWA NASHINDWA KUBEBA MIEZI 3.

ACHA KABISA HUO UGONJWA.
 
Pole asee, sasa mtu kukugombeza si ndio kuongeza stress tena.

Ndo matibabu gani hao waliokuwa wanakugombeza. Au ni kwa kuwa walikupa masharti magum wakaona hayakufuatwa?
 
Walishangaa waliduwaa JINSI ambavyo TATIZO lilikuwa kubwa kuliko vidonda Vya kawaida.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom