Hasira ukaa moyoni Mwa mtu mpumbavu.

Showmax

JF-Expert Member
Nov 18, 2022
6,594
12,579
MHUBIRI 7
Ukweli wa maisha
1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani;
Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa.
2 Heri kuiendea nyumba ya matanga,
Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake.
3 Huzuni ni afadhali kuliko kicheko,
Maana simanzi ya uso ni faida ya moyo.
4Moyo wake mwenye hekima umo nyumbani mwa matanga, bali moyo wake mpumbavu umo nyumbani mwa furaha.
5Heri kusikia laumu ya wenye hekima,
Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;
6Maana kama mlio wa miiba chini ya sufuria,
Ndivyo kilivyo kicheko cha mpumbavu.
Hayo nayo ni ubatili.
7 Kweli jeuri humpumbaza mwenye hekima,
Na rushwa huuharibu ufahamu.
8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,
Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.
9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako,
Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
10Usiseme, Kwa nini siku za kale zilikuwa ni bora kuliko siku hizi?
Maana si kwa hekima unauliza hili.
11Hekima ni njema kama urithi;
Naam, nayo ni bora kwao walionalo jua.
12Kwa maana ulinzi wa hekima ni kama ulinzi wa fedha na ubora wa maarifa ni kwamba hekima humhifadhi yeye aliye nayo. 13 Tafakari vema kazi yake Mungu; kwa sababu ni nani awezaye kukinyosha kitu kile alichokipotosha yeye?
14Siku ya kufanikiwa ufurahi,
Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lolote litakalofuata baada yake.
Mafumbo ya maisha
15 Mambo hayo yote nimeyaona mimi katika siku za ubatili wangu, yuko mwenye haki apoteaye katika haki yake, yuko na mtu mwovu azidishaye maisha yake katika udhalimu wake.
16 Usiwe na haki kupita kiasi;
Wala usijiongezee hekima mno;
Kwa nini kujiangamiza mwenyewe?
17 Usiwe mwovu kupita kiasi;
Wala usiwe mpumbavu;
Kwa nini ufe kabla ya wakati wako?
18Ni vizuri kwamba ulishike neno hilo; naam, hata kwa neno hilo tena usiuondoe mkono wako; kwa kuwa mtu yule amchaye Mungu atatoka katika hayo yote.
19Hekima ni nguvu zake mwenye hekima,
Zaidi ya wakuu kumi waliomo mjini.
20 Bila shaka hakuna mwanadamu mwenye haki hapa duniani, atendaye mema pasipo kutenda dhambi. 21Tena, usitie moyoni mwako maneno yote wasemayo watu; usije ukamsikia mtumishi wako mwenyewe akikutukana. 22Kwa kuwa mara nyingi moyo wako pia unajua ya kwamba wewe mwenyewe umewatukana watu wengine.
23Mambo hayo yote mimi nimeyahakikisha katika hekima. Nilisema, Mimi nitakuwa na hekima, lakini imefarakana nami. 24 Mambo yale yaliyo mbali, na yale yaendayo chini sana, ni mtu yupi awezaye kuyatafuta? 25Nikageuka, na moyo wangu ulikazwa katika kujua na kupeleleza, na kuitafuta hekima, na maana ya mambo yaliyoko; ili nifahamu ya kuwa uovu ni upumbavu, na upumbavu ni wazimu. 26Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti; yaani, mwanamke ambaye moyo wake ni mitego na tanzi, na mikono yake ni kama vifungo; yeye ampendezaye Mungu atamponyoka, bali mwenye dhambi atanaswa na yeye. 27Tazama, asema Mhubiri, mimi nimeyaona hayo kwa kulinganisha hili na hili, ili kuitafuta jumla; 28ambayo bado nafsi yangu ningali nikiitafuta, nisiione; mwanamume mmoja katika elfu nimemwona; bali mwanamke mmoja miongoni mwa wote mimi sikumwona. 29 Tazama, hili tu nimeliona; Mungu amemfanya mwanadamu mnyofu, lakini wamepanga mipango mingi.
 
Hasira ni dalili za mtu mpumbavu, Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na hasira. Hasira ni mlango wazi wa shetani kumuingia mtu.
Hasira ndio msingi wa tabia zote mbovu usiolewe usioe mtu mwenye hasira umeweka rehani maisha yako.
Acha wenye hasira waoane wenyewe, chunguza ukiona wazazi wa mchumba wako Wana hasira, kimbia usigeuke nyuma,unusuru roho yako, usilete hasira kwenye uzao wako.
Mmoja akiwa na hasira nyumba nzima itaharibika,palipo hasira amani akatai,pasipo amani malaika wa heri akai.
Hasira ni makao ya shetani.

Huwezi ukawa na hasira ukawa na maendeleo, maendeleo ni utulivu.
Hasira ni dalili za mtu mwenye ugonjwa wa akili.
 
Hayo ni maandiko tu na yatabaki hivyo hivyo tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani kila kiumbe kina hasira ila inafaa iwe ya kiasi, hakuna kiumbe kisichokasirika lakini hasira ikizidi na kumtawala mtu hiyo ni mbaya.
 
14Siku ya kufanikiwa ufurahi,
Na siku ya mabaya ufikiri
 
Hasira ni dalili za mtu mpumbavu, Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na hasira. Hasira ni mlango wazi wa shetani kumuingia mtu.
Hasira ndio msingi wa tabia zote mbovu usiolewe usioe mtu mwenye hasira umeweka rehani maisha yako.
Acha wenye hasira waoane wenyewe, chunguza ukiona wazazi wa mchumba wako Wana hasira, kimbia usigeuke nyuma,unusuru roho yako, usilete hasira kwenye uzao wako.
Mmoja akiwa na hasira nyumba nzima itaharibika,palipo hasira amani akatai,pasipo amani malaika wa heri akai.
Hasira ni makao ya shetani.

Huwezi ukawa na hasira ukawa na maendeleo, maendeleo ni utulivu.
Hasira ni dalili za mtu mwenye ugonjwa wa akili.

Makamanda kuna wito kuntu hapa
 
Nanukuu "8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake,
Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.
9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako,
Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu
".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom