Nauliza tu, huko Kusini mmeishiwa majina, kila mtu anaitwa Sanga tu, and ndio masharti ya utajiri?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,083
40,735
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko Kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au?

Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa , Sangaa, mmeishiwa majina?!
 
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au?

sanga ni ubini huwez badilisha ubini kwahyo tambua ukoo wa sanga ni mkubwa, kabila lao ni wa kinga na mtaisoma namba kingans are taking over
 
watu washindwe kujiita majina ya koo yao sababu ya kuwaogopa watu kama wewe!!? Hata kama kuna kina mwaipaja zaid ya laki moja bongo, ikiwa na mim ndo jina la babu zangu, ntajiita hivo hivo bila kuhofia watu kama wew mleta mada.
 
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au?

Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa , Sangaa, mmeishiwa majina?!
Kuna Sanga anatokea kusini? AU kusini huijui?
 
sanga ni ubini huwez badilisha ubini kwahyo tambua ukoo wa sanga ni mkubwa, kabila lao ni wa kinga na mtaisoma namba kingans are taking over
Hata kama ni la Ukoo, kuweni wabuni kama Wachagga, sio kila mtucSangaa , Sangaaa.., ahhh, tushachoka kusikia hilo jina
 
Kuna hili swali nimekuwa nikijiuliza kimya kimya moyoni..., kwamba huko kusini kila mtu anajiita Sanga, lengo hasa ni nini? Hata kwenye vibao vya ujenzi wa maghorofa kila mtu anaandika Sanga tu.., hivi ndio masharti ya utajiri hayo au?

Nini kinaendelea? Kila mtu Sanga, Sanga..., Sangaa , Sangaa, mmeishiwa majina?!
Uli n'nyasi!
 
Ulimtamwa veve

Unaumwa wewe

Hio Sanga ni koo kubwa katika kabila la Kikinga kama ilivo Moshi na Massawe huko Kilimanjaro
 
Hutembei hata dakika mbili hata msambaa nae anajiita mushi,hilo halikushangazi pia?

Chaga acheni kutafuta pa kufia
 
Back
Top Bottom