mtu

  1. JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tabia ya uwajibikaji hutengenezwa ndani ya mtu

    TABIA YA UWAJIBIKAJI HUTENGENEZWA NDANI YA MTU Mara nyingi mtu anapopokea cheo au nafasi flani, kwa zile siku za mwanzo huanza kwa kasi ya ajabu, lakini muda unavozidi kusonga mbele, ile kasi inapungua, kwanini inakuwa hivyo? Kuna sababu nyingi ambazo hupelekea jambo hilo kutokea. Familia zetu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  4. JamiiForums Tanzania Uume kuwa wa moto kama vile mtu mwenye homa ni kawaida?

    Hasa kipindi cha baridi au unaposimama, uume unakua wa moto sana, kama vile sehemu ya shingo mtu akiwa na homa, ila hauumi, je hii ni kawaida?
  5. JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  6. JamiiForums Tanzania Okwa: Baada ya Zoran kuondoka mambo yalibadilika

    “Wakati Zoran akiwa Simba ilikuwa unacheza kulingana na ulivyoperfom kwenye mazoezi, lakini baada ya kuondoka ikawa kama Kuna watu wanaleta list ya wachezaji wanaotakiwa kucheza na hawa wasicheze bila kujali ni nini wamekifanya kwenye uwanja wa mazoezi,” Aliyekuwa mchezaji wa Simba Sc, Nelson...
  7. JamiiForums Tanzania Dawa ya mtu aliyeziba masikio ni kumuwekea loud speaker, kazi iendelee

    Nimesikia kwamba Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Samiah Sukuhu Hassan hataki kusikia maoni ya wananchi wake juu ya mkataba wenye ukakasi wa ugawaji bure wa Bandari zote za Tanganyika. Sina shaka habari hizi ni za ukweli, maana nimeona video clip, na it seems aunthentic. Sasa hapa kuna maswali...
  8. JamiiForums Tanzania Hili nalo ni Jambo la kumnyima mtu Kweli?

    Nimeshangaa sana. Penzi ni kitu cha Kumnyima Mtu Kweli? Mpeane Mapenzi na Mfurahie. Inashangaza mtu anakuwa tu na roho mbaya, roho ya kichoyo na kibinafsi. Mtu kaja kakuomba penzi. MPE. si suala la kufanya liwe inshu, hasa tabia hizi wanazo sana Wanawake. Kwa wanaume ni nadra kumnyima...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya mtu akiwa single

    Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa. Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔 👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??, 👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mtu mjinga ni yule anayenyang'anywa mali zake huku akicheka

    Mtu mjinga ni yule anayenyang'anywa mali huku akicheka pasipo kujiuliza kwanini amenyang'anywa. Mtu mjinga anamiliki mali nyingi lakini anaruhusu mali hizo kuharibiwa na maadui na hata anaponyang'anywa kabisa basi yeye anabaki kuduwaa akitazama huku na kule pasipo kuchukua hatua kali kupigana...
  11. JamiiForums Tanzania Ni ugonjwa gani huu mtu afanyiwa operation na kutolewa minyoo mingi hivi?

    Hebu Tazameni hii operation madaktari mtueleze ni nini hii.
  12. JamiiForums Tanzania Mtu wa sales (Closer) na marketing anaitajika

    Habari, A Sales and marketing officer is needed. (Cheti sio muhimu ) Skills needed 1. Deals closer 2. Uwe na ushawishi 3. Marketing skills NB : Should be able to help reach monthly target Salary 200k monthly plus 10 percent commission per each deal closed . Location: Mbezi Mwisho, Dar Es...
  13. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anajichumia anaenda zake

    Tuliuza Loliondo kwa mwarabu. Tumeuza gesi ya Mtwara kwa wazungu, mabomba yanaelekea Ulaya, by d’r. Slaa. Tumewafukuza wamasai wa Loliondo tukampa mwarabu. Tumeuza wanyama wetu Dubai sasa huko kuna artificial forest inaitwa Sharjah Safari Park ina kila mnyama mkubwa unayemuona mbugani...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

    Salaam wote! Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui. hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado vingi hutakuwa huvifahamu. Hawa viumbe tunawasikia wanaitwa majini wapo lakini mara nyingi...
  16. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

    Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC )...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Mtu wa Sikonge nione muhimu sana

    Habarini nahitaji mtu mmoja aliye karibu na ofisi za Halmashauri ya Sikonge tabora mwaminifu nahitaji anisaidie kuchukua nyaraka pale ofisi ya halmashauri nitagharamia na kumuwezesha tafadhari nichek 0626402722 muhimu sana leo au kesho ikifika tarehe 21/6/2023 zoezi hili litakuwa limefeli asanteni
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  19. JamiiForums Tanzania Hersi Said ni tatizo Yanga;machoni kama mtu ila ana roho mbaya,makocha na wachezaji hawampendi

    Ukimuangalia sura yake kwa kuzoom utaona chembechembe za kiburi na dharau. Feitoto alisema bayana ila wako wengi tu hawamkubali,kuanzia benchi la ufundi mpaka wachezaji. Acha kiburi ba majivuni mdogo wangu
  20. R

    JamiiForums Tanzania Je, upo uwezekano mtu mzima above 32 year kuota jino baada ya kung’olewa?

    Habar wadau !!! Nimejaribu pitia majarida kadhaa uko mtandaoni zipo tafiti nyingi zinafanywa na wanasayansi kujua km upo uwezekano wa mtu mzima kuota meno km ilivyo kwa viumbe km papa.mamba nk inasemekana kuwa ili jino liote itahitajika stem cell katika fizi ili ikuwe na kuwa jino zipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…