mtu

  1. Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  2. Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Ewe admin, Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat? Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa...
  3. Hakuna mtu mrefu wala mfupi, ni mtazamo wako tu

    Habari, Nimeleta mada hii makusudi kabisa, karibuni wale mnaojiita warefu, ruksa kutuma bomu lolote[emoji4] Mimi naamini hivi: kujiona mrefu/mfupi inategemeana na mtu uliejilinganisha nae. Huko nyuma nimesema hivi, umbo la mtu linaweza kufanya mtu aonekane mfupi (hasa watu wanene) hata kama...
  4. Naomba kujuzwa vidonge mtu akimeza ataweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu?

    Habari wana jamvi Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
  5. S

    Asikudanganye mtu, raha kwa mwanaume huwaga ipo kwenye kojo la kwanza na la pili tu

    Kwa uzoefu wangu, kojo la kwanza na la pili ndo huwaga 💥, hayo mengne huko mbeleni ni kujitutumua tu ili umridhishe mwanamke. Nakumbuka kuna siku nipo natafta kojo la nne, mashine imesimama napump tuu lkn sisikii chochote dadek naskia tu km vile mashine inatk kuchomoka. Funzo: Madem mridhike...
  6. Sio vizuri kumjibu Mtu anayekutukana na kukudharau

    Jifunze kukaa kimya hata unapodharauliwa na kutukanwa na watu wako wa karibu. Jikite katika kufanya Kazi na kuishi katika utakatifu. Mungu ana tabia ya kuwashusha watu na kuwapandisha watu. Kuna watu walileta dharau lakini muda huu wanalia na kusaga meno. Pia Mungu akikupandisha hakikisha...
  7. Mtu anayeelewa hizi takwimu anisaidie kufafanua.

    Matokeo ya darasa la saba yanaonyesha wanafunzi walioanza std 1 mwaka 2016 walikuwa 1,38692. Waliosajiliwa kufanya mtihani wa la saba mwaka 2022 ni 1,384,186. Ni kama watoto 2,406 ndiyo walikwama njiani. Lakini takwimu nyingine zinaonyesha mwaka 2016 Std 1 kulikuwa na watoto 2,120,667. Kwa...
  8. Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

    Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
  9. Dkt. Jakaya Kikwete amtunuku Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima UDSM. Sasa ni Dkt. Samia

    Rais Samia amekabidhiwa shahada ya udaktari wa heshima kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam leo wakati wa mahafali ya 52 duru ya 5. UDSM imesema uongozi wa Rais Samia umeleta mageuzi ya kiuchumi na mengineyo, pia umeleta tumaini jipya. Rais Samia amesemwa kuboresha elimu ikiwemo kujenga vyuo 25...
  10. UDSM ina upekee gani wa kumtunuku mtu Udaktari wa Heshima kuliko vyuo vingine?

    Kama swali linavyojieleza. Natamani kujua kama kuna vigezo vinavyoidhinisha au vinavyofikiwa kwa chuo kikuu iwe hapa Tanzania au Duniani kote katika kumtunuku mtu udaktari wa heshima. Nauliza hivyo kwasababu kwa hapa Tanzania kila mara utasikia UDSM imemtunuku mtu fulani udaktari wa heshima na...
  11. Hivi kitatokea nini kama ukiamua kukaa siku nzima bila kumuongelea mtu?

    Kipi kitakupata endapo ukiamua kuishi maisha yako bila kumuongelea mtu? kuna watu wanaongea sana hadi wanatukwaza sisi (introvert). Ifike hatua tujifunze kukaa kimya. Hamchoki?
  12. Naomba mtu mwenye kitabu cha Oedipus the King, soft copy anisaidie kunitumia

    Hope Mungu ni Mwema kila wakati Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
  13. Ni mara ya pili namkopesha mtu pesa kumbe anataka akalipe Logde

    So mapema kabisa mtu anapiga simu akilalamika mambo yamebana so anahitaji backup, and i said why not if it is possible to put smile to someone? After all he will pay back when things are okey but. Imeniuma sana, mtu kukulilia shida halafu kumbe shida yenyewe ni ya uzinzi tu, nimeapa hawa watu...
  14. Mandonga ashinda kwa TKO Morogoro, leo Novemba 25, 2022

    Bondia Karim Mandonga ameshinda pambano dhidi ya Said Mbelwa kwa TKO katika raundi ya 6 kwenye pambano lisilo la ubingwa Uzito wa Kati, leo Novemba 25, 2022. Akizungumza baada ya pambano hilo lililofanyika Mkoani Morogoro, Mandonga amesema “Sikubahatisha, nimempiga ulingoni na kama hakubali...
  15. Kuwa na Tabia Njema / Mbaya huwa ni Maamuzi ya Mtu binafsi

    Habari za Wakati Huu wakuu!! Nina Ushauri Mdogo kwa Wale wanaokatishwa kuingia Kwenye Mahusiano na Baadhi ya Makabila Eti Kisa Sifa flani ulizisikia kutoka kwenye hayo Makabila. Je,Ulishawahi kufanya uchunguzi kwenye Kabila lako/ ukoo wako ukazikosa hizo Tabia??? Kama MOYO wako Umempenda mtu...
  16. Naomba msaada wa mtu kunidhamini nipate kazi GardaWorld Security

    H
  17. Msaada: Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa

    Hi there/here!! Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi. Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu. Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo...
  18. Kosa la Dr. Bashiru ni kusema, "Tusichague Mtu kwa Ubwabwa, kofia, Kanga wala Tshirt

    Dr. Bashiru anauliza, tabia yenu na mienendo yenu wakati wa Uchaguzi ikoje? Chama mnachokichagua mnakijua? Mnaye mchagua mnamjua? Tusichague Mtu kwasababu ametupa Ubwabwa, kofia, Kanga, pesa au Tshirt. Dhana ya Uwajibikaji: Muna nafasi gani kusimamia Serikali ili iwe upande wenu? Veo vyote...
  19. Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  20. Tuanze kuwatoza kodi wafanyabiashara wanaofanya matangazo ya sauti kwenye maeneo ya biashara

    Kama umewahi kutembelea maeneo ya biashara mfano Kariakoo n.k utagundua kila mahali ni kelele. Kila mtu anatangazo lake na wakati mwingine kusababisha noise pollution kwa watu wengine. Sasa kwanini tusianzishe kodi itakayotozwa kwa hawa wanaosababisha makelele kwenye maeneo hayo? Ni wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…