Je, ni dhambi kumuahidi mtu anayekunyanyasa kuwa wakati mwengine akikutana na wewe utakuwa mkubwa kuliko yeye akumbuke hilo

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,923
2,003
Wakuu nimeianza 2024 nikiwa wa moto sana kwasababu ya kujua hatima yangu itapofika 2024 sitakiwi kuwa na ndoa na jamaa wa 2023 alokuwa akinitumikisha, kwani 2023 alishadiriki kuivunja ndoa yetu na akaomba hiyo 2023 kabla haujaisha mwaka turudiane, kweli tukarudiana mi nikiwa na akili mbili mbili muda wowote tukirudiana akizingua tena basi naachana naye mazima.

Yametokea kunitishia kuniacha mimi nkwambie tuachane na maneno kibao asijasahau dunia ni uwanja mpana ila akumbuke alozoa kuniona mnyonge inawezekana ipo siku nikageuka kuwa msaada kwake.

Wakuu mimi ni me niliajiriwa na jamaa mmoja mbantu mwenzetu ila nimeshindwa kufanya naye kazi kutokana na kujua ye kila siku ni mtu wa kulaumu tu, niambieni niloyomwapiza yakitimia nitakuwa na Dhambi ama
 
Back
Top Bottom