Kuna watu hawawezi pitisha siku hawajagombana na mtu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Inashangaza sana. Sijajua ni njaa, stress, hulka, muwasho wa ngozi, mikono au nini.

Watu ni wagomvi balaaaaaah... Yaani anaweza hata kununua ugomvi wa mtu akaingilia akauchukua yeye. Sijui shida ni nini.... Sisi wengine ndo tumekuwa punching bags zao.

Sababu ya upole huu unakuta umekaa tu mtu anakuja anataka umpakate. Unashangaa whyyyyyyy? Kwa nini? Unashangaaaa kinyama yaani.

Jambo hili si zuri ndugu zanguni sisi wengine kung fu, tae kwan ndo, karate zimelala hapa. Basi tu hatutaki kujionesha kwa watu. Ila tukiamua kukichafua humu JF hatobaki mtu na mademu wenu tunachukua maana kiuchumi tupo poa pia. Ndo maana mnakuja lia lia humu na wengine mnaachwa.
 
Umenikumbusha kuna dada mmoja tulikuwa kwenye mahusiano asee sijapata kuona mtu mgomvi kama yule.
Wapo usiombe akawa demu wako. Hana jema. Ukimletea zawadi ni ugomvi. Usipo ni ugomvi. Hana jema hata.... Hata ukimwambia nakupenda analianzisha... " kawaambie hao malaya wako... Unadhani. Utanidanganya kirahisi... Huna lolote wewe. Umalaya tu umekujaa"
 
Back
Top Bottom