mtu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita, Mtu Mzuri, Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja Naye.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ni mtu na kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita ,Mtu Mzuri ,Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja naye . Ni kiongozi ambaye amekamilika katika kila idara . Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ulikuwa mtu huru una enjoy Life. Ghafla unaambiwa umeteuliwa kuwa Hayatollah Iran. Unaoneshwa mashimo ya kuishi

    Hii Dunia haipo fair kabisa. Imagine ulikuwa na uwezo wa kutembea popote upendapo. Kwenda beach, porini, shambani n.k ulikuwa unaweza kaa na watoto wako na wakezo mka enjoy Anatokea mbwa mmoja kwa wivu na chuki zake anapendekeza unakuwa Hayatollah. Hapo hapo maisha yanabadilika. Unaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Wadau sio jambo jema kufurahia kifo cha mtu kisa tu hujamuona mitaani akifanya shughuli za kisiasa kama udiwani n.k

    Subiri Mungu afanye kazi yake. Sio kuanza kuzua uongo na kushabikia. Kifo ni suala ambalo halihitaji kisasi. Ni kumuachia Mungu tu.
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kutenganisha shutuma za Rais wa TLS na CHADEMA. Anyway tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye kazi yake nadhani Kila mtu atafikiwa

    Nianze na ku appreciate kazi, uzalendo na weledi mkubwa wa vyombo vyetu vya Dola katika kulinda ustawi wa Taifa letu kwa kuzingatia Sheria na maadili ya Taifa letu la Tanzania. Ni kipindi pekee ambacho TLS Imekosa heshima Mbele ya umma watu wanashindwa kutofautisha kati ya shughuli za TLS na...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado🤣 Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  6. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ni ajabu sana. Mtu mmoja anadai wazazi wanalingana kwa umuhimu. Kwangu Mimi Nooo

    Hapana Kwa kifupi wapo waliotendewa wema na Mama zao na wapo waliotendewa ubaya na haohao mama zao. Lakini asilimia kubwa baba wengi tumewatendea ubaya wake zetu, kitendo kilichotengeza chukizo kwa watoto. Kwa watoto kivipi. Wengi tunasingizia mama kuwalisha watoto machukizo. Lkn tunasahau...
  7. JamiiForums Tanzania Rafiki yako anayetembea na mke/mume wa mtu. Usimuamini. Huna Rafiki hapo. Ni wazi hata mkeo/mumeo anatoka naye. Wewe ndio hujui tuu.

    Hamjambo! Unajua kabisa. Rafiki yako. Unayemuamini. Unayemuambia siri zako. Anayejua mambo yako. Ukamkuta anayembea na mke au mume wa mtu. Tena mnapiga na stori kabisa. Inawezakuwa unamwambia anafanya ndivyo sivyo. My friend. Huyo sio Rafiki. Sisi Watibeli. Wazee wa kazi. Wanasaikolojia...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni dawa gani inayoweza kumuwezesha mtu kua Mnene?

    Habarini za asubuhi wakuu, wajomba na mashangazi, wapwa na binamu zangu. Ngoja nipitilize moja kwa moja kwenye mada, ningependa kufahamu kutoka kwa anaefahamu. Nifahamishe dawa sio ya tiba au ya matibabu maana mtumiaji sio mgonjwa wala hana maradhi ya aina yoyote ila dawa ya kumuwezesha mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anakaribia kuingia kwenye 18

    Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama. Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂 Cc. Mafwele Muliro Mkunda
  10. JamiiForums Tanzania Ziara za Makonda, Kuna kitu hakipo sawa kwa Top Officials wa GVT !! Kuna Mtu anauacha Urais au Mwigulu anapigwa Chini !

    Ngoja tuone wataendelea kuficha Hadi lini!!
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kumpata mtu aliyepokea muamala kimakosa

    Kuna jamaa yangu kamtumia Mtu 700,000 badala ya 70,000. Jamaa alifanya naye biashara ni chinga. Tunduma. Sasa jamaa amegundua siku 2 baadae. Akamcheck chinga akagoma, wakakubaliana waonane amuonyeshe Muamala. Akazima simu. So, anawezaje mtrace? Maana hata namba amesajilia ya mtu mwingine.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  14. JamiiForums Tanzania Taswira kamili ya CCM: Ni chama cha watekaji na wauaji. Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi.

    Aliunga mkono mauaji na utekaji hadharani leo hii anapata teuzi. Hii ndio CCM👇
  15. R

    JamiiForums Tanzania KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  18. JamiiForums Tanzania Mtu anayekuombea mafanikio, ni mwizi tu.

    Ili apate cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:- Daktari anataka uugue ili aende kukutibu Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba Askari anataka...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee aliyekuwa na maono makubwa kuhusu miundo mbinu ya barabara ni Jakaya Mrisho Kikwete, Magufuli ndiyo aliturudisha nyuma!

    Nchi yetu barabara kuu km za 1. Dsm-Moro-Iringa-Mbeya-Tunduma(T001) 2. Chalinze-Moshi-Arusha-Namanga(T002) 3. Morogoro-Dodoma-singida-Nzega-Shinyanga-Mwanza(T003/T004) zilitakiwa njia ziwe njia 4 magari yasipishane. Badala yake angalia vipaumbele vya hovyo vya Magufuli; 1. Uwanja wa ndege wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…