mtoto wa kike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AIZZY

    JamiiForums Tanzania Mahusiano mtoto wa kike

    Habari ya mda huu!! Nina swali la kuhusu mahusiano kwa nn wadada kati ya umri 17-20 katika mahusiano wanakuwa na mambo mengi? Inayopelekea kutokuelewa ukweli na kua na jeuri, ujuaji,ubishi n.k?
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kivuli cha mtoto wa kike kinavyoathiri malezi na ndoto za mtoto wa kiume

    Na Norberth Saimoni Chanzo:NSPCC Usawa wa kijinsia ni agenda ya nchi nyingi ulimwenguni ambayo inajumuisha hatua na jitihada mbalimbali zinazolenga kuhakikisha kunakuwa na ulinganifu baina ya mwanaume na mwanamke katika nyanja zote kijamii,kisiasa,kiuchumi na kitamaduni. Jitihada hizi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kumwambia Mwanao unampenda ni lini?

    Salam Wakuu, Katika malezi ni muhimu sana mtoto ajihisi kupendwa na wazazi wake ama na yoyote anayemlea. Ni ngumu kwa mzazi/mlezi kuwapenda watoto wote sawa, lakini ni muhimu kwa watoto wote kujihisi wanapendwa na kujaliwa na wazazi/walezi wao. Mtoto anayepata mapenzi na upendo kutoka wa...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Serikali: Aliyedai mtoto kageuka jiwe alidanganya. Alijifungua mtoto 1 wa kike na alikuwa kaweka ahadi ya mtoto wa kuime

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt.Khalfany Haule amesema taarifa ya uchunguzi iliyofanywa kuhusu sakata la Mtoto kugeuka jiwe Musoma imethibitisha bila shaka kuwa hakuna aliyezaa jiwe wala hakuna Mtoto aliyegeuka jiwe bali Amina Abdallah aliyemuahidi kumzalia Hamis Mtoto wa kiume kisha akamzalia wa...
  5. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

    Hope ni wazima Wana Jf Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto wa kike kama haolewi anapaswa kuendelea kuishi na wazazi mpaka umri gani?

    Kwa mila na tamaduni zilizokuwa zimezoeleka huko nyuma ilikuwa kwamba mtoto wa kike ataondoka kwa wazazi wake kwa kuolewa. Kwa miaka ya karibuni mifumo na taratibu za maisha zimegeuka kabisa. Idadi kubwa ya watoto wa kike hawaolewi kwasababu mbalimbali. Kufuatia mabadiliko haya ndiyo sababu...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Katika Elimu ya Msichana Unaweza Kubadilisha Dunia Nzima

    Uwekezaji katika elimu ya msichana unaweza kubadilisha jamii, nchi na dunia nzima. Wasichana wanaopata elimu wana uwezekano mdogo wa kuolewa wakiwa chini ya umri na wana uwezekano mkubwa wa kuishi maisha yenye afya na yenye mchango mkubwa kwa jamii. Elimu kwa binti ni suala kubwa zaidi ya...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jamii inampokeaje mtoto wa kike aliyepata ujauzito akiwa shule?

    Jamii nyingi zimekuwa zikiwatenga sana watoto wa like ambao wanabeba mimba wakiwa shule, wengi wao hawapati ushirikiana wankutosha kwa jamii zinazowazunguka, wahanga wengi wa tatizo hili huishia tu kuwa na msongo wa mawazo na kujiona ndio wameshafeli kwenye maisha. Serikali imewaruhusu watoto...
  10. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Bado upo umuhimu wa mtoto wa Kiume kuelimishwa kuhusu hedhi ya mtoto wa Kike

    Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili (karne ya 21 Toleo jipya) uk wa 147. Nakumbaka mwaka 2007 ni kiwa darasa la tano ndani ya darasa letu...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa

    Mtoto wa kike, ukiombwa namba toa, hata kama humpendi huyo mwanaume. Kama humtaki, tumia mbinu za ki-digitali:- Atakapoanza kuchati na wewe; mpige mzinga mkubwa, kwa mfano; akununulie kiwanja n.k; hapo lazima akukimbie bila kumkwaza. Hii njia itakujengea heshima na haitakukwaza na watu.
  12. reymage

    JamiiForums Tanzania Tunapomnyanyua mtoto wa kike tunamsahau mtoto wa kiume

    Salaam sana jf Imekua kawaida kwa hali ilivyo kwa sasa,kila tunakozunguka ktk maisha ya kawaida tunakutana na mijadala na hotuba mbali mbali za kumnyanyua mtoto wa kike ktk masuala kadhaa wa. Dunia nzima sasa hivi inazungumza lugha moja tu ya usawa wa kijinsia kati ya ke na me na imekua...
  13. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Harusi ya Mtoto wa Kike wa Rais Museveni aliyeolewa Mtoto wa Jenerali Tumukunde

    Photos attached
  14. anonymous_blue

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa baba kumnunulia mtoto wake wa kike PEDI?

    Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
  15. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Hongera Serikali kwa kukubali kumtendea haki mtoto wa kike

    Hatimaye serikali imesikia kilio cha wadau wa elimu waliokuwa wakishauri kuitaka serikali iruhusu watoto wanaopata ujauzito wangali mashuleni waendelee na masomo, binafsi naipongeza serikali kwa kuona kuwa ni vyema na haki kuwaandalia utaratibu watoto hao kuendelea na masomo, Na sababu zangu ni...
  16. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo mwanamke akichelewa kuamka?

    Leo nlikuwa nangalia youtube kuna wamama walikuwa wa naongea mara mmoja akasema mwanamke wa kiafrica hatakiwi kuchelewa kuamka. Anatakiwa aamke mapema saa 12 asubuhi 🤔 Nimeshangaa sna. Kwani kuna tatizo lolote mwanamke akichelewa kuamka? Mfano mimi km siku nko free siendi shule nakuwa nachelewa...
  17. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania WADJDA: Filamu inayochochea ukombozi wa mtoto wa kike

    Wadjda Binti wa miaka 10 anatamani sana baiskeli, wadjda hawezi kununuliwa baiskeli kwa vile jamii yake inakataza mwanamke kuendesha baiskeli, anaamua kujifua na kuingia kwenye mashindano ya kuhifadhi Quraan akiamini atakuwa mshindi wa kwanza na kujipatia pesa ambazo atazitumia kununulia...
  18. mama D

    JamiiForums Tanzania Ufadhili kwa mtoto wa kike wa kidato cha kwanza (form one)

    Habari ya jumatatu wandugu. Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda Tusambaze ujumbe huu tukaguse maisha ya watoto wetu Na Mungu atubariki🙏
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike kuitikia naam imekaaje

    Mfano unamwita Monica ye anaitikia naam hivi Ni sahihi wazee? mtoto wa kike SI inatakiwa aseme abee Mara zote. Thread tayari.
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
Back
Top Bottom