Je, ni kweli unaweza kujua mtoto wa kiume au wa kike huko mbeleni atakuja kuwa na matatizo ya kutoweza kuzalisha au kuzaa

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Umofia kwenu

Sikumbuki niliwahi kusikia yawezekana mtoto ktk umri fulani yawezekana mzazi au mlezi ukaona vitu au viashiria flani kwamba huyu mtoto ukubwani mwake hatakua na uwezo wa kuzalisha au kuzaa.

Je, hii ina ukweli wowote? Na kama ni kweli nini hivyo viashiria au vithibitisho?

Mungu awaepushie janga hili waja wake.
 
Umeshaanza kuona dalili zozote za kutia shaka kwa mwanao au?
Mkuu hapana aisee 😂😂😂😂😂😂umenchekesha sana. Mimi bhana wakwangu wa kike ata sijui lkn nahisi hawa ni ngumu kuwatabiri. Nahisi mtihani waweza kuwa kwa watoto wa kiume maana imagine kama anasema dalili flani za kike kike inaweza ikawa mtihani sema hii itakua iko nje ya mada.

Tukirudi kwenye mada ....sina uhakika ndio maana nimeuliza. Maana nahisi hii kitu kama niliisikia. Yawezekana sio sisi wazazi wa dotcom wa kileo. Maana imagine wamama naskia wanauwezo mkubwa sana wa kumshika tu mtoto na kujua dah huyu mjukuu wangu mtoto wa nje huyu.

Hapa my son kabambikiwa. Nadhani hata wababa nao. Sasa sina uhakika hiki kizazi chetu kama tuna kipawa hiki.
Anyways mambo ni mengi mda hautoshi
 
Back
Top Bottom