mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Teknolojia: Njia rahisi ya mzazi kumwachia mtoto simu yake bila hofu ya kuvuruga files

    Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa. Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps tumizi kama vault kwa hofu kwamba mtoto atavuruga au kufuta. Kwanza ni lazma iwe na lock ya kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania Maskini mali zisizo na Faida kwa Warithi!

    Habari zenu! Leo napenda kushare Fukunuzi moja watu husema "Mtoto ni mtumwa wa Mali za Urithi wakati akiwa mdogo Lakin ajapokuwa na kuzijua haki zake Ndipo Huwa bwana wa yote". Tatizo lililopo katika usemi huu sio utoto, Bali ni kuzijua haki zake na kusimama kidete ili azipate. Kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa katika umri mdogo/utotoni

    Makala haya mafupi yanaletwa kwenu na mwaandishi wenu Orkipirie lenaiterru kopp. Ndoa za utotoni au katika umri mdogo ni pale ambapo msichana au mvulana wanapoingia katika ndoa wakiwa katika umri mdogo sana chini ya miaka 18.kwani umri mdogo huanzia 0-17miaka watoto ambao wapo katika umri huo...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu anasimamia asichokiamini? Mwanae anasoma English Medium

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania pengine ni nchi pekee duniani yenye maajabu yasiyoweza kulinganisha au kufananishwa na nchi nyingine. Ni jambo la ajabu waziri wa elimu msimamizi wa elimu yenu na mustakabali wetu wa siku zijazo.Waziri wetu huyu watoto wake hawasomi katika shule za umma,wapo...
  5. JamiiForums Tanzania Unamwacha mpenzi kisa hazai, akienda kupata mtoto kabla yako utajisikiaje?

    Hii kitu usiombe! Tumeumbwa na wivu wa asili, japo sio uchawi ila inapotokea unaanza kuombea mabaya wenzako. Huu unabaki kuwa ukweli mchungu unaotibu kwa kuchoma roho yako. Nyieee..!![emoji1614][emoji36]
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aua mtoto wake kwa kutopokea fedha za COVID19

    Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto afikishwa mahakamani kwa kumnyonga mwenzake

    Mtoto wa miaka 15 aliyekuwa akifanya kazi za ndani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na shtaka la mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Julai 9, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha huku...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mama anamuonea wivu mtoto wake?

    Huu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana, kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni, (aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza kwenye mitihani yake), dogo kweli amepasua paper vizuri sana, baba Yale akatekeleza ahadi yake kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi naomba usiache kupitia hapa

    Kumpenda mtoto wako ni sawa hili halina shida na ndivyo inavyotakiwa lakini kumpenda mtoto mpaka ushindwe kumuonya au kumrebebisha tabia flani hili si sawa yaani mtoto unampenda kiasi mpaka anafanya mambo ya ajabu unaumuangali? Kuna wadada ndoa 4 kaachika na nje ya maisha ya kawaida hawezi...
  10. JamiiForums Tanzania Mbatia: Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba

    Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai mama na mama ni Watanzania, ndiyo wenye Katiba-M/kiti NCCR-Mageuzi, James Mbatia.
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

    Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini. Ni msichana mrembo sana ana umri wa miaka 19, kamaliza form 4 2019, ila anaonekana n mschana mpambanaji, nljarbu kugusia...
  12. JamiiForums Tanzania Binti wa mpangaji mwenzetu katembea na kundi letu lote lenye vijana watano

    Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Mali matatani akihusishwa na tukio la kutoweka kwa mwandishi 2016

    PICHA: Karim Keita Mtoto wa Rais wa zamani wa Mali Shirika la Interpol limetoa hati ya kimataifa ya kumkamata Karim Keita, mtoto wa rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita, akihusishwa na tukio la mwaka 2016 la kutoweka kwa mwandishi wa habari za uchunguzi, watu walio katika duru za...
  14. JamiiForums Tanzania Njia ipi ni njema kidato cha sita au chuo kwa mtoto anayetaka kusomea tiba? Amemaliza kidato cha 4.

    Mtoto wangu alifaulu vizuri sana kidato cha 4 na kwenda shule nzuri sana kidato cha 6 na tukakubaliana kuwa akimaliza kidato cha 6 atakwenda chuo bara lolote anapotaka yeye. Ghafla baada ya muhula wa kwanza akabadirika anasema anataka kwenda kwenye chuo kiko SA. Na amekwishajaza makaratasi na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni ipi Logic ya kumpeleka mtoto wa miaka 5 Bording School?

    Leo kama kawaida ndio wanafunzi wanajiandaa kurudi shule kwa ajili ya kesho kuanza Masomo. Sasa kwenye pitapita zangu nikakutana na vitoto nadhani vina miaka Minne hadi Mitano viko na wazazi wao na vimevalishwa uniform. Nadhani ile ndo point ya wao kukutania ili watoto wabebwe kwenda shule...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kumwacha mtoto wangu aokote kitu ili ale nijaribu kumzuia, kila akiokota anakuwa fasta zaidi yangu

    Habar wadau Ile RAHA ya kuwa na mtoto ninayo kwa asilimia Mia mimi kama Baba sababu ya kuwa Rafiki na Mwanangu imepelekea nimebuni michezo Mingi ya kucheza nae mpaka mwezi Jana nilipo gundua kuwa watoto Mikono yao ina spidi si ya kawaida pindi inapo elekea Mdomoni. Kama wote tunavyo jua kua...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa michezo katika makuzi ya mtoto

    Michezo humfunza mtoto ubunifu, kujenga ushirikiano na wenzake, mawasiliano nk. Hivi vyote ni muhimu katka maisha ya baadae ya mtoto. Katika michezo watoto wanapata nafasi ya kupanga sheria na taratibu ili wote washiriki. Hijifunza kushirikiana katika vifaa vyao vya michezo. Watoto...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  19. JamiiForums Tanzania Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

    Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake. Ni haki ya mtoto atambue kila...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama una biashara na unataka kuwaachia watoto wako wasimamie, masuala ya fedha muachie mtoto wa kike

    Mtoto wa kike tamaa yake kubwa itakuwa ni kupendeza na kuwakoga wenzake. Kama atachomoa hela za kampuni itakuwa ni kwa ajili ya nguo, vikuku vya dhahabu na handbags. Mtoto wa kike kama ni mpenzi atakuwa nae mmoja na ni mara chache sana atamshirikisha katika mambo ya pesa. Mtoto wa kiume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…