Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
Kumpeleka Mtoto shule yenye Ada kubwa au Shule ya Garama ni kupoteza tu hela, cz mtoto atasoma atafika hadi Chuo then atamaliza Vizuri chuo, baada ya kumaliza chuo anakuwa mzigo wako tena anashinda tu nyumbani hana cha kufanya Ajira hamna unaanza kuangaika upya, Wakati Umetumia gharama nyingi hadi kumfikisha Chuo
Mzazi bora umsomeshe mtoto shule ya kawaida hela ya kumpeleka shule Yenye Ada kubwa Umuwekee kwenye account hili akija kumaliza awe na kitu cha kufanya
Sio unatumia gharama kubwa kumsomesha then anakuja kuwa Jobless anaanza kukutegemea kuanzia kula hadi kuvaa
Kwa sasa bora hiyo hela ya ada Uwekeze kwenye vitu vya maendeleo hata akija kumalza ana sehem ya kujishikiza
Elimu ya bongo ishakuwa hovyo tu unatumia gharama kubwa then hamna faida yeyote, ndo maana unakuta shule darasa zima wana div one ila wakimalza chuo ni majobless kazi hakuna