Nifanyaje naona aibu, anamlazimisha mtoto wake aniite baba

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
1,667
5,008
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Shida ilipoanzia kuna siku nilikuwa nje nafua yeye alikuwa amekaa na yule mtoto wake, siunajua tabia za watoto kakaropoka huku kanatembea kuja kwangu baba baba baba.

Yaani toka siku hiyo imekuwa ndio wimbo baba baba. Nikiwa naondoka anamwambia mwambie baba akulete zawadi, nikirudi jioni anamwambia kampokee baba kanakuja kugonga mlango baba baba yaani.

Fedhea kubwa inapokuja kuna wapangaji wengine wapo sasa ile nikiwa narudi kile kitoto kinakuja baba baba yaani nashindwa hata nijibu nini naishia tu kujichekesha kinafiki.

Hapa nilikuwa nawaza nimwambie amkataze yule mtoto naona haiwezekani, Au nijiegeshe tu kuwa baba hewa. Nahitaji ushauri wandugu natanguliza shukrani.

1642491068948.png

Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 ,Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka
Kuna hasara gani mtoto malaika wa Mungu kukuita baba. Au unadhani atakubania kupiga mbususu za majirani.

Huwezi jua kukuita baba kunamfariji kvp huyo mtt ambae huenda hajawahi kumuona baba yake.

NB: tumia upstairs vzr kjana
 
Hiyo ni mibaraka mdogo wangu. Haitakugharimu cho chote kuwa unakaletea pipi na vizawadi vingine vidogo vidogo. Kapende na kukaonyesha mapenzi ya baba. Mungu Amekupa nafasi ya kuacha alama ya kudumu kwa huyo malaika wake na ichukulie nafasi hiyo kama ni sadaka unatoa. Utakuja kulipwa baadaye ama wewe mwenyewe au kwa watoto wako na vizazi vyako. Mungu Anakupenda sana
 
Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi.

First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8.

Shida ilipoanzia kuna siku nilikuwa nje nafua yeye alikuwa amekaa na yule mtoto wake, siunajua tabia za watoto kakaropoka huku kanatembea kuja kwangu baba baba baba.

Yaani toka siku hiyo imekuwa ndio wimbo baba baba. Nikiwa naondoka anamwambia mwambie baba akulete zawadi, nikirudi jioni anamwambia kampokee baba kanakuja kugonga mlango baba baba yaani.

Fedhea kubwa inapokuja kuna wapangaji wengine wapo sasa ile nikiwa narudi kile kitoto kinakuja baba baba yaani nashindwa hata nijibu nini naishia tu kujichekesha kinafiki.

Hapa nilikuwa nawaza nimwambie amkataze yule mtoto naona haiwezekani, Au nijiegeshe tu kuwa baba hewa. Nahitaji ushauri wandugu natanguliza shukrani.
Sioni tatizo lolote, Kubali tu Kuitwa Baba so long as sio Baba yake kweli na Huna mahusiano Mama yake Basi Huyo Mtoto anahitaji faraja ya Ubaba ambao Katika malezi yake anaukosa Maana muda wote yupo na Mama Yake na ye ni mtoto wa Kiume Kitu ambacho Mama hawezi Kumfanya mtoto wa Kiume kuwa Mwanaume Hivyo kama hutojali just do it for the sake of Helping only that, Yani Provide ile Fatherhood japo Kidogo Kumsaidia huyo Mtoto maana asijekukosa uanaume ndani yake Akawa shoga au Mtoto wa Kiume mwenye uanamke ndani yake
 
Hata hili nalo unakuja kuomba ushauri?
Huyo mtoto akikuita baba ndio anakya mwanao wa kumzaa?

Sasa kama mtoto mwenyewe anakuita baba unataka mama yake amwambie akuite nani?

Kama unaweza mletee mtoto zawadi.
Hapo atakaekushangaa au kukuona wa ajabu kwa mtoto kukuita baba na yeye hayuko sawa kichwani.
 
Kama hufurahii jambo muambie muhusika. Hili ni jambo nyeti sana kwani ni rahisi wanaowazunguka kuelewa mambo sivyo na hata wageni pia. Great alternative ni mwambie akuite kaka inatosha.
 
Sioni tatizo lolote, Kubali tu Kuitwa Baba so long as sio Baba yake kweli na Huna mahusiano Mama yake Basi Huyo Mtoto anahitaji faraja ya Ubaba ambao Katika malezi yake anaukosa Maana muda wote yupo na Mama Yake na ye ni mtoto wa Kiume Kitu ambacho Mama hawezi Kumfanya mtoto wa Kiume kuwa Mwanaume Hivyo kama hutojali just do it for the sake of Helping only that, Yani Provide ile Fatherhood japo Kidogo Kumsaidia huyo Mtoto maana asijekukosa uanaume ndani yake Akawa shoga au Mtoto wa Kiume mwenye uanamke ndani yake
Sio mtoto wa kiume ni wakike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom