Uhamisho wa mtoto wa Darasa la Nne

E2E

Member
Jul 20, 2017
12
13
Habari zetu wanajamii Forum
Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna uwezekano wa kumkaririsha mtoto darasa yaan kama alikuwa darasa la tatu mwaka jana basi aendelee kusoma darasa hilo mwaka huu. Naomba mwenye kufahamu anijuze
 
Back
Top Bottom