Dina (sio jina halisi) ni mama wa watoto 3 ambao wote kwa sasa wanafanya shughuli zao na wako vizuri.
Wakati anaolewa alimkuta mumewe na watoto wawili. Katika malezi aliwalea wote kwa usawa bila kubagua na watoto wakawa wanapendana sana, igawa wote kwa sasa ni watu wazima wanajitegemea lakini...