mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto ana haki ya kujua asili yake. Wamama msiwafiche Watoto Baba zao

    MTOTO ANAHAKI YA KUIJUA ASILI YAKE. Anaandika Robert Heriel. Hakuna sababu yoyote inayozuia na kumnyima Haki mtoto kuijua Asili yake. Mtoto lazima amjue Baba yake mzazi, Mtoto lazima ajulishwe mama yake Mzazi. Hiyo ni Haki ya Mtoto. Mtu ili ajitambue lazima atambue asili yake. Mtu ambaye...
  2. Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa. Hii ni dhana iliyopo katika jamii mbalimbali, na inadhaniwa hutokea kwa sababu mtoto kunyonya maziwa yenye...
  3. Hivi ukija kujua hili kama wewe utafanyaje?

    Hivi ukijajua mdogo wako tena kipenzi ni mtoto wa mume wako ambaye amezaa na mama yako utafanyaje? Naomba ushauri positive not negative.
  4. E

    Uhamisho wa mtoto wa Darasa la Nne

    Habari zetu wanajamii Forum Samahani sana ndugu naomba kwa mwenye kufahamu utaratibu wa kumhamisho mtoto wa darasa tatu kwenda darasa la nne kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine. Na je kuna uwezekano wa kumkaririsha mtoto darasa yaan kama alikuwa darasa la tatu mwaka jana basi aendelee kusoma...
  5. Jiongeze: Mheshimu sana House girl anayebaki na mtoto wako, unapokuwa haupo hakuna kinachomzuia yeye kulipizia kisasi kwa mtoto

    nani anaependa kukaripiwa? nanj anaependa kupigwa? nani anapenda kugombezwa? nani anapenda kupigwa? nani anapenda kunyanyaswa? HAKUNA!!!! Inanishangaza sana kuona kuna baadhi ya wazazi hawaheshimu kabisa mahouse girl wanaobaki na watoto wao, huwaona kama wanadamu wa toleo la pili. House girl...
  6. Dokta Kumbuka: Masha alinitupia mtoto Getini kwangu akiwa na miezi 6

    Kumbuka ambae pia ni moja ya mtangazaji wa E-fm katika kipindi cha uhondo leo amefunguka na kusema Masha love alimutupia mtoto kipindi akiwa mdogo na umri wa miezi 6 tu. Hayo ameyasema kumbuka leo ambapo kwenye kipindi hicho walikuwa na ugeni wa Mzazi mwenza(Masha love). Hii ni baada ya Masha...
  7. Bibi atamani mtoto na kijana wa miaka 24

    Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24. Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke...
  8. Nifanyaje naona aibu, anamlazimisha mtoto wake aniite baba

    Msaada wa haraka unahitajika wakuu, Nifanyaje kuzuia hii hali. Hapa nilipopanga kuna Mwanamke nilimkuta anaishi. First time nilijua labda ni mwanafunzi maana umri wake unachezea 18~19 , Ila baada ya muda nilikuja gundua anamtoto umri unachezea kama mwaka na miezi 8. Shida ilipoanzia kuna siku...
  9. Kumpeleka mtoto shule yenye ada kubwa ni kupoteza tu hela

    Kumpeleka Mtoto shule yenye Ada kubwa au Shule ya Garama ni kupoteza tu hela, cz mtoto atasoma atafika hadi Chuo then atamaliza Vizuri chuo, baada ya kumaliza chuo anakuwa mzigo wako tena anashinda tu nyumbani hana cha kufanya Ajira hamna unaanza kuangaika upya, Wakati Umetumia gharama nyingi...
  10. H

    Wanaume, ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

    Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1 Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri...
  11. Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  12. Ni upi umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto?

    Hello hello, Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa. Hivi ni wakati...
  13. Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  14. Anahitajika binti wa kazi mwadilifu wa kulea watoto wawili

    Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini. Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam Idadi ya watoto: Wawili Mawasiliano ya mama wa watoto: +255689200948
  15. B

    GE2020 Furaha Dominic, afunguka mazito kuhusu uchaguzi wa 2020

    11 January 2022 EXCLUSIVE THE BIG AJENDA USIKU WA LEO NA ALIYEKUWA MGOMBEA WA JIMBO LA KAWE, FURAHA DOMINICK. Baada ya ukimya wa kipindi kirefu ajitokeza kwa mahojiano ya kina. Furaha Dominic, mkemia na mbobevu wa elimu ya mazingira kwa fani alizosomea azungumzia pande mbili za uncle...
  16. Ukweli kuhusu kupata mtoto wa jinsia ya kike/kiume

    kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume, Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu alipoingia bleed basi kuna uwezekano wa kupata mtoto wa kike,na kama itaanzia siku ya 14-17,basi kuna...
  17. F

    Kumzoesha Mtoto hela ni dhambi?

    Hii mada niliikuta sehemu imezua mjadala mkali sana baina ya mtoto (mwanafunzi) na mama yake wakati wakifanya manunuzi ya stationery za kwenda shule Januari hii. Mama anashikilia kwamba hela ni hatari kwa mtoto (hasa wa bweni) kwamba yeye mama enzi zake kama mwanafunzi hakupewa hela ambazo...
  18. CHADEMA waonesha umoja, wamchangia mtoto wa Lingwenya ada na pesa ya vifaa vya shule

    @bavicha_taifa wameongoza wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi ya Mhe. Mbowe na wenzake kumchangia ada na vifaa vya shule mtoto Mariam Mohamed Ling'wenya, mtoto wa mshitakiwa Mohamed Ling'wenya. Aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya baba yake. Imechangwa sh. 545,000.
  19. Ukiwa mjamzito mtoto anageuka akiwa na miezi mingapi?

    Habari wakubwa heri ya mwaka mpya na imani mko poa. Ebhana iko hivi kwa mama mjamzito mtoto anaanza kugeuka akiwa na miezi mingapi........? Naombeni majibu mtoto wa miezi 6 anaweza akawa ameshageuka tayari naona sielewi na sina ufahamu saa kuhusu haya mambo ameenda kupga utra sound kaambiwa...
  20. M

    Mtoto wa dadake Magufuli aondolewa Ukatibu Mkuu

    Mjombake Mwendazake Dotto James katupwa nje. Sukuma gang in big trouble
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…