mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lissu wanamtaka Baraba

    Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?" Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba" Hadi Pilato aliguna. Ndio maana akajioa hatia juu ya damu ya Yesu . Na Yesu alipozikwa, Pilato aliagiza kaburi...
  2. jannelle

    JamiiForums Tanzania Nitoeni ushamba leo juu ya kuagiza gari mtandaoni

    Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je ni kodi tayari included or hapo ni kuagiza na kusafirisha tu. Msaada picha mfano👉🏼
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Platform za Uhakika za online za Kutengeneza Pesa Mtandaoni (Ushuhuda wangu)

    Freelancing ni njia maarufu inayowezesha watu kufanya kazi kutoka popote walipo. Kuna majukwaa kadhaa yanayotoa fursa za freelancing ambapo unaweza kujiandikisha kama freelancer na kuanza kutoa huduma zako kwa wateja mbalimbali. Mifano ya majukwaa hayo ni: Upwork: Hii ni platform maarufu...
  4. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  5. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hii biashara ya maudhui mtandaoni

    Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usianike life style yako mtandaoni, binadamu hana tabia ya kusahau, binadamu hasamehi

    Usimwanike mtoto wako mtandaoni. Usimwanike mwenzi wako mtandaoni. Usianike mali zako mtandaoni. Usianike bata zako mtandaoni. Kuna siku utatamani kufuta itakuwa too late wenzako wameshadownload na kushare. Kuna siku utahitaji msaada post zako mtandaoni zitakuhukumu. Kuna siku utahitaji kazi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

    Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam . Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira . Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya CHADEMA tawi la mtandaoni

    Ukifuatilia mitandao ya kijamii utagundua CHADEMA ndicho chama chenye wafuasi au wapambe wengi sana katika mitandao ya kijamii nchini, katika hili utakosea sana ukifikiri uwakilishi mitandaoni unawakilisha uhalisia nje ya mitandao( kwa ground). Maandamano yakiitishwa na viongozi wa CHADEMA...
  9. Kitchener

    JamiiForums Tanzania NECTA wanataka tulipie matokeo ya darasa la nne 2024 au why hawaweki mtandaoni?

    Kumbe matokeo yametoka, ila necta hawataki kuweka kwenye mtandao wao? shida nini? au kwa sababu shule za private zinawazidi? mtaburuza sana mkia.
  10. B

    JamiiForums Tanzania King daz, kijana alieonesha jumba lake la kifahari mtandaoni, source ya pesa zake ni nini haswa?

    Habarini Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁 Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pande 2 za vijana wanaokosoana mtandaoni kwa sababu ya misimamo yao ndani ya chama chao

    Nionavyo mimi: 1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana. Hakuna sababu ya kufanya hivyo. Kuna haja ya kufanya "harmonisation" au "coexistence of the two sides". 2) Kwa upande mwingine, ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna usalama wa akaunti baada ya kununua bidhaa kwa kutumia MASTER card

    Nataka kufahamu km kuna usalama wa akaunti baada ya kununua BIDHAA kwa kutumia MASTER CARD za bank km NMB, CRDB nk kwenye mitandao km ALIEXPRESS, ALIBABA nk.
  13. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi ninatembea na risasi, nitaogopa mawe ya mtandaoni?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini lilikufanya mpaka ukasema hutokuja tena kuwa na mahusiano na mtu uliyekutana nae mtandaoni

    Katika Harakati za Kujamiana na watu mbalimbali kwenye mitandao basi nikapata binti mmoja nikamwelewa sana Ila siku ya appointment picha alizotuma na mwana dada niliyekutana nae ilikuwa ni ardhi na mbingu 🤣Dah filter ipigwe fine wazee Vipi kwenu, wadau ilikuaje mpaka ukasema hutaki tena...
  15. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mitazamo hasi ya wanajamii mtandaoni na katika maisha halisi, huwasababisha wengine kutokuwa wakweli

    Baadhi ya wanajamii husababisha raia wenzao kushindwa kusema ukweli unaowahusu. Hii husababishwa na mtazamo hasi kutoka kwa jamii husika. Utakuta kwa mfano mtu anapitia changamoto fulani na angependa kuizungumzia ili kupata msaada au kuwasaidia wengine kujifunza; mtu huyo itambidi atumie nafsi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Sheria ya Mikopo ya Mtandaoni bado inavunjwa kwa kutoa siri za mteja

    Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa. Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yatoa Mafunzo ya namna ya kuwa Salama Mtandaoni na Utoaji Taarifa Sahihi kwa Umma

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali. Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
  18. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Mbona kama Mikopo ya Mtandaoni inaendelea licha ya BOT kukataza?

    BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake. Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu? PIA SOMA - BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Dalili za Mtoto Anayepitia Unyanyasaji Mtandaoni Cyberbullying

    Unyanyasaji wa Mtandaoni, unazidi kuwa tishio kubwa kwa watoto kila mahali duniani. Dalili zake mara nyingi hazionekani moja kwa moja, lakini zinaweza kufahamika iwapo kirahisi kama tu mzazi au mlezi utaweka umakini kwa mwanao. Mtoto aliyeathirika anaweza kuonekana mnyonge au mwenye huzuni kila...
  20. Maleven

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana tamaa sana kwenye biashara za mtandaoni

    Mfani rj45 connector ni 200 madukani ikizidi 500, mtu anauza 1500 au 2000 Kifaa ambacho dukan ni elf 65, mtu anaweka 120,000. Kifupi wanaweka bei mara mbili ya inavyokua kawaida, watu wanatamaa sana.
Back
Top Bottom