mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B Prosper

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni kutokea China. Nomba mwenye uelewa wa manunuzi mtandaoni anijuze

    Wakuu habari, Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe. Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe...
  2. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tovuti yenu mtandaoni haifunguki, sasa wanachama wanapataje taarifa?

    Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024. Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi. Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

    Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje? Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu yasema “Application 55 za Mikopo ya Mtandaoni hazijasajiliwa”

    Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius Mnyamani na kuongeza kuwa baada ya muda wa uhakiki kupita, Application hizo zitafungiwa kutoa huduma...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri changamoto za Mikopo Mtandaoni, TCRA yajiweka kando yasema "haituhusu"

    UCHUNGUZI wa Nipashe umebaini baadhi ya namba za simu zinazotumika kudhalilisha wakopaji hazina utambulisho wa Tanzania, yaani ZIP CODE +255. Katika ufuatiliaji wake, mwandishi alibaini kuwa kwa siku mtu mmoja anaweza kupigiwa simu na watu 10 tofauti wakizungumza jambo tofauti juu ya mkopo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  8. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna nyingine ya kupata namba ya NIDA bila ya kwenda ofisini kwao?

    Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
  9. W

    JamiiForums Tanzania Unamlindaje Mwanao Mtandaoni?

    Namna ya Kulinda Usalama wa Watoto Mtandaoni 1. Zungumza na mtoto juu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao 2. Mfundishe mtoto kuhusu taarifa binafsi na namna ya kuzilinda 3. Weka mipaka ya mambo ambayo mtoto anaweza na hawezi kuyafanya mtandaoni. 4. Muhamasishe mtoto kutoa taarifa endapo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mikopo ya Pesa X hawana lugha nzuri kwa wateja

    Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote. Mimi naomba mamlaka husika hawa watoa mikopo online zipunguwe kama hawa watu wanaoitwa Pesa X hawana lugha nzuri kabsa.
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni

    Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
  12. Hommy

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
  13. Barakha John

    JamiiForums Tanzania Viashiria /dalili 6 vya kujua kuwa unatapeliwa mtandaoni

    Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Unafanyaje kuendesha biashara ya mtandaoni inayohusisha utoaji wa huduma fulani hasa kwenye uaminifu?

    Assume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar. Je, unawezaje kuwafanya wakuamini hasa wale wanaohisi kutapeliwa kila siku na huenda washatapeliwa Je, uhamie Dar wakati bado unajijenga au ufanye kipi? Vipi huko. Baadae...
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
  16. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  17. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Magazeti Hadi Blogu: Kwanini Kujua Kuandika Mtandaoni Ni Ujuzi wa Thamani Zaidi Leo

    Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi! Siku hizi, kila kitu...
  18. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ku-save pesa unapotaka kununua gari mtandaoni kutoka Japan

    Wakuu, Kwa mtu ambae anataka kununua gari mtandaoni kutoka Japan na pia anataka ku-save pesa kidogo, leo kuna kitu kidogo sana nimeona tushirikishane. Sio kitu cha ufundi, ila ni patience. Ukiwa unafanya survey ya gari, ukishachagua model unayotaka, nashauri usikimbilie kulipia hapo hapo. Jipe...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Weka 'Alerts' Google ili upate ujumbe kila taarifa zako zinapoandikwa mtandaoni ili Ujilinde kwenye Mitandao

    DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts 2. Andika jina lako au taarifa unayotaka...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
Back
Top Bottom