mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  2. Heritage123

    JamiiForums Tanzania 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania kuna haja ya kuwapima akili hawa watu wanaojiita madokta..haswa hawa madokta wa mtandaoni.

    Huyu dokta wa ajabu naye ithibati inabidi kumchukulia panga. Kama ni CCM basi mtakuwa kisiasa sasa. Mada za ajabu anazoleta sijui ukipiga msamba asubuhi na kipande cha ndizi mbivu kitambi kinatoka.
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business)

    Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business) Kama huwezi kuanza moja kwa moja na kampuni, usiogope anza na jina la biashara na mengine utamalizia kwa badae. Hapa chini kuna hatua kuu ambazo zitakuongoza ili usajili wako uwe rahisi, wa haraka na wa kisheria kabisa. Hatua ya...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe CCM wanaweza kubadilisha katiba yao tena mtandaoni lakini ya Wananchi aaah!

    Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao. Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Je unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) ?

    Kama unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) karibu nikusaidie kwa kuweka matangazo mtandaoni utawafikia watu wengi zaidi kupitia Facebook na Instagram kwa bajeti nafuu... Pia nitakuwa nasimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii. Gharama kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es...
  8. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Tishio la Usalama wa Fedha Mtandaoni – Udhaifu wa Usalama Katika Apps za Kifedha kama M-Pesa Tanzania

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, huduma za kifedha kupitia simu za mkononi zimekuwa mkombozi mkubwa kwa watu wengi. Applikesheni kama M-Pesa zimeleta urahisi wa kufanya miamala, kulipia bili, kutuma na kupokea pesa, kwa haraka na salama — angalau ndivyo inavyotarajiwa. Hata hivyo, kuna...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu 21 mbaroni kwa tuhuma za wizi Mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limewakamata watu 21 kwa tuhuma za kujihusisha na utapeli na wizi wa kimtandao maarufu ‘halo halo’, katika operesheni maalumu iliyofanyika kati ya Julai 2 hadi 11, 2025. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Alex Mkama Julai...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Ahangaika kuuza jumba lake kwa Tsh 1.75bn. Akapata wazo lingine la kulifanya jackpot kwa ticket ya Tsh 7k

    Wanunua tiketi kwa ajili ya kupataa nafasi ya kushinda jumba hili wakafika 500,000, Kumaanisha kuwa mwamba aliishia kutengeneza Tsh 3.5bn, mara mbili ya bei aliokuwa ametangaza mwanzoni.😨 Mshindi alipatikana na akaingia katika jumba hili kwa Tsh 7000 tu! Hii ndio maana halisi ya kufikiria...
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata pesa kwa kufanya kazi za kuajiriwa mtandaoni (remote jobs)

    Kama umehitimu chuo kikuu au una certificate kutoka chuo au taasisi yoyote ya elimu ya juu, huu ni wakati wako wa kuchukua hatua ya kujiingizia kipato kupitia kazi za kuajiriwa mtandaoni. Kazi zipi unaweza kufanya 2. Mahali pa kuzipata 3. Jinsi ya kujiandaa 4. Na mbinu za kushinda ushindani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma hawajibu wananchi mitandaoni wala kusuluhisha changamoto zetu

    Taaisis ya Rita kitengo cha mtandao na Habari kinakabiliwa na tuhuma za kutojibu wateja wao mitandaoni hasa wale wanao omba usaidizi kwenye mitandao ya kijamii. Kwa sasa nchini Taasisi ambazo ziko chini ya serikali zimekuwa zikitoa huduma mbovu kwa wateja wake kwa kiasi ambacho kinakatisha...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya Posta iitwayo SWIFPACK

    📍DSM📍 🗓️26 Juni, 2025 📌MATUKIO KATIKA VIDEO YA MADEREVA WA SWIFPACK WAKIKIWASHA MTAANI. #swifpack Smoothride and Delivery
  14. K

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mtandaoni wafanya maandamano kuitangaza huduma mpya ya posta iitwayo swifpack

    Umoja wa Madereva wa Mtandaoni (UMM) umefanya maandamano ya amani leo Juni 26, 2025, katika jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutangaza na kuhamasisha matumizi ya SwifPack huduma mpya ya usafiri wa mtandaoni iliyoanzishwa na Shirika la Posta Tanzania. Huduma hii ya kisasa ilizinduliwa rasmi...
  15. Sir mgax

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuingiza pesa kwa njia ya mtandao?

    Habari wana jf Nimekuwa nikisikia na kuona watu wengi wamekuwa wakiongelea issues za kuingiza pesa kupitia mtandao kama vile freelancing,upnetworking e.t. Sasa nimetamani sana kujua na kujifunza zaidi michakato hiyo kwa sababu nahisi mwanga ila nipo gizani.naweza kupata mtu wa kunishika mkono?
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaishia kupiga mikwara mtandaoni tu hahahaha

    Kila siku kwenye page za mange kimambi na sativa ni no Reform no election eti ndio kuandamana hivyo ambapo serikali italeta katiba mpya unajua Kuna vitu vinachekesha sana Bora hata wasiwe wanaandika huo utumbo baada ya kupanga mikakati ya kuingia barabarani Kila siku mikwara ya mtandaoni nasema...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Lissu siyo mjinga kuamua kujitetea, nadhani Ina maana kubwa kisheria. Soma hii kutoka mtandaoni

    In Tanzania, the right to legal representation is enshrined in various laws and constitutional provisions, and the courts have emphasized its importance in ensuring a fair trial. Any denial of this right, especially if it prejudices the accused, can have serious legal consequences. Denying an...
  18. evangelical

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

    Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao. Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi. Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ben Pol abarikiwa mtoto, aweka picha hizi mtandaoni

    Staa wa Bongo Fleva, Ben Pol, amefurahia baraka mpya maishani mwake baada ya kubarikiwa mtoto. Msanii huyo ame-share furaha yake na mashabiki kwa ku-post picha mtandaoni, akionyesha upendo wake kwa malaika huyo.
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa mtandaoni (wauzaji wezi Instagram)

    Kuna watu wanauza bidhaa Instagram,lakini kumbe ni matapeli na wezi. Nashauri kuwa makini sana na watu wote wanaofanya biashara online. Mimi binafsi nimetapeliwa na Dada anajiita queen Zipporah IG.
Back
Top Bottom