mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa mtandaoni

    Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF. Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu. Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya...
  2. JamiiForums Tanzania Hii picha nimeona mtandaoni, nimeona sio mbaya nishare na nyie

    Nchi hii yetu ni masikini sana lakini ina gapu kubwa sana kati ya walichonacho na wasiokuanavyo. Tafadhari wafundisheni watoto wenu kuwa watoto wa vijana wenzenu walio na hali duni sio kwamba baba zao ni wavivu au fikra mbovu, ni basi tu fursa uliopata hakubahatika kuipata. Mfundishe kuwa kuna...
  3. JamiiForums Tanzania Nimenunua shati na suruali kutoka mtandaoni ila najuta

    Habari wadau. Juzi niliona shati kali na suruali (jeans) poa sana kwenye akaunti moja hivi ya mfanyabiashara wa Instagram huko. Nika contact naye na nikalipa kabisa kupitia lipa namba yake. Sadly, leo nimevipokea maana alinitumia kwenye basi na havinitoshi kabisa. Shati ni dogo mno hasa mikono...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Habari njema, je wajua unaweza kumiliki Tv yako au Redio yako kwa njia ya mtandaoni ?

    Habari wakuu, Katika zama hizi za maendeleo ya teknolojia ya kidijitali, umiliki wa televisheni na redio hauhitaji tena njia za kizamani kama vile kuwa na mitambo mikubwa, studio za gharama kubwa, au leseni ngumu za urushaji. Sasa, mtu yeyote anaweza kumiliki televisheni au redio ya mtandaoni...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Je, wajua unaweza kumiliki AI yako mwenyewe kupitia kwenye website yako?

    Habari wakuu, Je wajua kuwa custom Artificial Intelligence (AI) inaweza kuwa msaada mkubwa kwenye biashara yako ya mtandaoni? unaweza kuitumia leo kuboresha website yako au blog yako. Kwa mfano: Chatbot: Unaweza kuweka chatbot kwenye website yako ili kujibu maswali ya wateja haraka bila...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, taarifa za wagombea unazoziona mtandaoni huwa unaziamini au unazihakiki kwanza kabla ya kufanya maamuzi?

    Katika kipindi cha uchaguzi mkuu, taarifa kuhusu wagombea husambaa kwa kasi kupitia mitandao ya kijamii. Hata hivyo, si taarifa zote ni sahihi; nyingine huenezwa bila uhakika na mara nyingine unaweza kukutana na habari zinazopingana kuhusu mgombea mmoja. Hali hii huwafanya wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Nitajie hapa Free Site bora au Free Websites za Kupakuwa Nyimbo Mtandaoni / Mitandaoni

    Nina GB 100 na nataka zote nizitumie Kupakuwa tu Nyimbo za Kikongo na Hotuba za Werevu Nyerere, Mkapa na Magufuli.
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni

    Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika. Casino maarufu zaidi Tanzania 1. Aviator Hii inawachezaji kila kona ya nchi , kumbuka kila kmpuni...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unalinda akaunti zako mtandaoni kwa usalama wa kutosha?

    Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka. Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha Mfumo wa Uthibitisho wa Ziada (Multi-Factor Authentication MFA / Two-Step Verification). Hii...
  10. JamiiForums Tanzania MANUNUZI YA MTANDAONI NA REFUND

    Habari zenu,,, Nimefanya MANUNUZI bidhaa mtandaoni kwa kutumia VISA CARD ya Vodacom,,baadae niliona bidhaa sio Bora,,,nikaamua kucancel order,,, nikarudishiwa pesa niliyofanyia malipo,,, REFUND imekamilika,,,ila kwa bahati mbaya Hela kwenye VISA CARD Vodacom,,, inaonyesha Salio...
  11. JamiiForums Tanzania Sielewi wanachokifanya Dotto Magari na boss wake Issa Tambuu mtandaoni

    Kuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Oscar Oscar inakuwaje watu wanamshangilia kwa upumbavu anaoandika mtandaoni? na kumpa matangazo?

    Huyu jamaa ni zezeta na pevert, anaandika upumbavu sana mtandaoni, kuhamasisha usodoma(mapenzi kinyume na maumbile), ufuska, ngono kwa watoto nafikiri LHRC walishamkemea wakabezwa, hata Waziri wa jinsia na watoto alishawahi kumkanya akabezwa, mtandaoni anashangiliwa sana na kupewa matangazo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mafunzo yatolewwa kulinda wanasiasa wanawake Mtandaoni

    Taasisi ya Pollicy Data Institute Agosti 15, 2025 imeendesha mafunzo kwa waandishi wa habari nchini Tanzania, yakilenga mbinu za kuandika habari zisizowabagua wanawake, hasa wale wanaojihusisha na siasa. Mafunzo haya ni sehemu ya mradi wa kimataifa unaoitwa Vote Women, unaolenga kuongeza...
  14. JamiiForums Tanzania Hizi channel wanaopiga nyimbo 24/7 ni kwamba katika ulimwengu huu kuna nyimbo wanayo mtandaoni haipo ama?

    Upande wa tv kama wasafi, crown, trace, mtv kila ukifungua ni nyimbo, bussiness model ya hizi channel ikoje
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako, nini chanzo kikubwa cha hate speech mtandaoni?

  16. JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA: Vyombo vya Habari vizingatie Miongozo na Kanuni za Uandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesisitiza umuhimu wa vyombo vya habari, hususan vya mtandaoni, kuzingatia miongozo na kanuni za uandishi wa habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Soma pia: Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. ==================== Nasimamia mitandao ya kijamii (social media manager) kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 350,000 Tsh kwa mwezi
  18. JamiiForums Tanzania Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi

    Kama unaingiza pesa kupitia mtandaoni tupe mbinu na sisi. =============== Nafanya usimamizi wa Mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram na TikTok kwa gharama ya 150,000 kwa mwezi. Karibu. Mawasiliano: 0756704145, nipo mkoa wa dar es salaam
  19. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
  20. JamiiForums Tanzania Petabytes 633 ndo kiwango cha data kilichotumika na wananchi 2024/2025. Lakini mpaka leo huna cha kuuza mtandaoni

    https://www.tcra.go.tz/uploads/text-editor/files/Takwimu%20za%20Mawasiliano%20za%20Robo%20ya%20Mwaka%20Inayoishia%20Juni%202025_1752572004.pdf
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…