Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online.
Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria)
Katika...
Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi haibadiliki hadi mwombaji aende ofisini.
Pia, kuna taarifa kutoka kwa wananchi kwamba kwa sasa...
Anonymous
Thread
huduma
kilio
mtandaoni
ofisi
ofisi za rita
rita
tandahimba
vyeti
wananchi
wilaya
Nimepita mahala nikashituka, jamaa anatoa elimu ya utengenezaji wa sabuni za MCHE, una mlipa 3000 anakufundisha kutengeneza sabuni HATUa Kwa HATUa, inakua kama darasa, kozi ni wiki Moja tu.
Nikajiuliza sasa hapa si unaenda you tube, google au chatgpt nk. Tena Kwa bando la jero tu.
Nimepiga...
Habari ndugu zangu.
Wewe mwanaume mwenzangu usije ukazama kabisa penzini na mwanamke uliyekutana naye katika mitandao ya kijamii Hadi ukafikia hatua ya kutaka kumuoa.
Mmekutana huko mkaanza mapenzi siku mkikutana macho macho kula kitumbua fresh kabisa lakini usiingie mazima "UTAJUTA"
Sasa...
Habari wakuu,
Kwa yeyote anayetafuta fursa ya kufanya kazi mtandaoni akiwa nyumbani (Fully Remote), kampuni ya teknolojia ya Alignerr kutoka Marekani (inayomilikiwa na Labelbox) imefungua milango ya ajira kwa wataalamu wa fani mbalimbali nchini Tanzania ili kusaidia kuifundisha na kuinoa mifumo...
Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi.
Jina la buku saba lilianzia...
Licha ya wateja kulalamika kuhusu matapeli wa biashara mtandaoni lakini pia kuna wateja matapeli.
Kuna rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo sasa kuna siku akapata Delivery Kimara Temboni. Mteja akamwambia atalipia mzigo ukifika. Basi bwana boda akaja dukani kachukua mzigo kaelekea Kimara...
Mwaka 2023 kama sio 2024 niliweka uzi hapa unaohusu upweke na kujitenga sana kwa upande wange,basi kuna dada mmoja akanifuata pm,tukawa tunachati baadae tukawa tunawasilia kwa whatssap,yeye ni mwalimu ndio alikuwa ameripoti huko RUVUMA,ni mchaga na ana dada yake hapa dar,anawatoto 2 wote wa baba...
Eti Wakuu,
Kwa upande wangu hii ni tabia ambayo huwa hainivutii kwani siyo muumini wa kusoma au kukabiliana na lugha isiyofaa na kwa kweli wakati mwingine mtu mwenye tabia hii hufikia hatua ya kum-block ili nisiendelee kuona vitu vyake anavyoandika mtandaoni vyenye lengo la lugha ya chuki na...
Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Mtu anayeweza kuwasiliana kwa simu na kufanya ufuatiliaji mara kwa mara atapewa kipaumbele.
Kazi hii ina...
Ripoti ya The Economist Intelligence Unit (EIU) kwa kushirikiana na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama UN Women na UNFPA inasema kuwa ukatili unaochochewa na teknolojia na mifumo ya Akili Unde (AI) umekuwa dharura kubwa ya kimataifa, ambapo kati ya asilimia 16 hadi 58 ya wanawake duniani...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti.
Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
Akizungumza Bungeni Waziri wa Fedha amesema kuwa ili kupunguza ada za huduma za mauzo ya mtandaoni zinazotumiwa zaidi na vijana kama ifuatavyo:
A: Ada ya maombi ya leseni ya huduma ya mauzo mtandaoni kupungua kutoka shilingi elfu hamsini hadi shilingi elfu kumi.
B: Ada ya mwanzo ya mwaka kwa...
Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena
Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo.
Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
Umekuwa ukiweka pozi la vidole viwili juu (maarufu kama Peace Sign) au lile pozi la Kikorea la kusugua vidole (Finger Hearts) kila unaporusha selfie mtandaoni?
Jinsi AI Inavyofanya Kazi
Zamani, ukipiga picha kwa mbali, picha ya vidole vyako ilikuwa ikionekana kwa ukungu (blurry) kwa jicho la...
25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza
Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari jambo inaumiza sana na ukizingatia kutokana na uhaba wa ajira vijana wengi tumeamua kujiajiri lakini...
Kuna mahala inafika unaona kabisa AI inachukiza sana maana kwa sasa ni ngumu kujua ipi video halisi ipi video ya kutengeneza .
Kwa sasa kila nikiona video hata iwe na uzito kiasi gani nashindwa kuichukulia serious .
Na wengi wanaoongoza kuleta video za AI ni wanaharakati uchwara wasiojielewa...
Wakuu,
Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu.
Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.